Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Kwani mlalamikaji akisema hana mpango wa kuendelea na shauri ni kuiingilia mahakama?
Kwanza ndio amepunguza gharama za kuendesha kesi. Apewe hongera
We mpumbavu nini? Yaani mtu anafanya kosa alafu anapandishwa mahakamani alafu unamfutia kosa. Acha mahakama imuhukumu kwa uhulu wake.
 
" Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.

Nami GENTAMYCINE nasema kama Sabaya labda alimkosea Mtanzania yoyote au Kiongozi yoyote yule Tanzania hivyo nae sasa Anakomolewa basi Asamehewe tu ili Maisha yaendelee.

Kazi Kweli Kweli hakyanani.....!!!!!!
pot acha wehu mura
umulisya oyo atesele abhanto bhokong'u
 
We mpumbavu nini? Yaani mtu anafanya kosa alafu anapandishwa mahakamani alafu unamfutia kosa. Acha mahakama imuhukumu kwa uhulu wake.
Kwanza acha kupaniki mkuu acha matusi
Nakuambia serikali ndio imelalamika na ndio imefuta kesi tatizo ni nini?
Unafikiri DPP akifuta kesi nikwaridhaa yake au ameshauriana na mamlaka?
Kwani kama wakiona hakunatija kuendelea na hiyo kesi kwanini isifutwe?
Kwani kesi hiyo ndio yakwanza kufutwa. Au kisa amefutiwa mtu usiempenda?
 
Mahakama ndio chombo cha kujua ushahidi upi utamtia mtu hatiani. Mpaka DPP anasoma chaji mahakamani, ujue kuwa ameona ushahidi upo.
 
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
👇

FqdD3UbWIAMYsUH
Kila mwaka wafungwa hufutiwa vifungo na wapo waliofutiwa makosa na Magufuli na sasa wako madarakani, mtu mkakatili haachi asili yake.
 
Shida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.

Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.

Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Kilichoingiliwa hapo ni mahakama au legacy? Tunajua kilichowauma MATAGA ni ile statement ya Rai's SSH kuwa "mwanaume ni yule anayejiamini". Moja kwa moja Mwendazake aliguswa. Wacheni povu, tulieni. Au nasema uwongo ndugu zangu?
 
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
[emoji116]

FqdD3UbWIAMYsUH
Sukuma Gang mwaka wenu huu lazima mtokwe bawasiri kwa ajili sonona.
 
Shida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.

Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.

Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Sukuma Gang lazima mpate kifafa cha mimba mwaka huu kudadadeq
 
Shida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.

Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.

Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
kwamba habambikii watu kesi na kupora mali za watu kama mtangulizi
 
Wewe mtusinendakwenu Rwanda yaanirais amfutiekesijambazi sabayaweweunaakili kweli
 
Huyu Mama nadhani amaeonyesha dhaili nguvu ya wanawake ikoje,Vitabu vitakatifu vyote na huko kwenye nchi za waarabu mwanamke hawezi kupata Nafasi ya kuongoza kamwe wala Mamraka yoyote kitaifa,Ni wa nyumbani tu kupika na kupakua,Ata hapo jirani zanzbar mwanamke sokoni haendi,Tanzania imekuwa mfano hai wa hili,Tunapigo kubwa sana.
Ujerumani imeuongozwa na Mwanamke kwa miaka 14. Na uchumi wake ni zaidi ya Afrika nzima.
Huna akili
 
Walishaongoza wanaume wenye akili yeye kaja kuwekwa tu hapo ili waitangazie dunia kwamba inawezeka na huyo mama ni mzungu kumbuka....huku tumeshalamba gharasha mzee baba mchele kwetu umefika 4000 kilo moja yeye anajiandaa kuhudhulia tu sherehe za wanawake duniani ila hajui mateso wanayopata wanawake wenzie!!!.
 
Back
Top Bottom