Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

cctv cameras na Wananchi wa Hai na Arusha +Diwani wa CCM wanatosha.
Wale walishindwa hata kuithibitishia Mahakama? Footage hainyeshi sura, hajulikani huyu ni nani! Mahakama gan itakutia hatiahani kwa style hiyo?
 
Ushahidi ulikuwa overwhelming huwezi kukanusha Ujambazi wa DC Mstaafu.
 
Hapa Naona kizunguzungu tu.

Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.

Jambo hili linashangaza mno.

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?

Ukiachana na hilo.

Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.

Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.

Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.

Huyu atakua mzazi wa aina gani?

Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.

Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.

Maana Logically it doesn't make sense at all.
 
Kumtetea Sabaya inabidi usiwe na akili timamu kama mleta mada. Sabaya ni shetani katika mwili wa binadamu. Hafai kutetewa na mpenda amani yeyote. Makonda, Gambo, Mnyeti, Biswalo na Ally Hapi walipaswa wawe magerezani muda huu.
 
Mzee kwani wangapi wamemlalamikia Mbowe kwa mauaji kadhaa pale ufipa? Kama una ushahidi wa uo ujambazi mbona kesi anashinda? Mkowapi nyinyi mnaosema jambaz mkatoe ushahidi?
 
Sabaya ni jambazi kesi Yake siyo yakisiasa siyo yakutengenezwa kajitakia mwenyewe kituo chake cha kazi kilikuwa mkoa Wa Kilimanjaro wilaya Hai anaenda kufanya matukio mkoa Wa arusha kwanza anaingilia wakuu mikoa na wilaya linamuhusu hatobowi
 
Tunaendelea kudanganya watanzania mpaka lini??
 
Sabaya ni kesi halali za uhalifu wake, wakati Lema ni kesi za mchongo toka kwenye siasa chafu za Magufuli.
Huu sio upendo kama Lema amesahewa kwann sio Sabaya ubaguzi ni Dhabi kubwa Sawa .Amini nakuambia Rais wetu Mama Dr.Samia atamsamehe na Sabaya Mama ni mwenye hekima sana.
 
Back
Top Bottom