fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 739
- 1,032
DPP anatakiwa awe HURU na nani? Unajua maana ya kuwa huru? Hakuna mtu yeyote anayeteuliwa na Mtu mmoja ambaye anaweza kuwa huru.Wewe umesoma kweli? Dpp anatakiwa awe huru. Katiba ipo wazi. Hapa raisa anatamka hadharani kufuta kesi baada ya kuombwa na mtu. Kesi inapofunguliwa mahakamani inatakiwa iishe on merit.
DPP au Mshika nafasi yoyote ambaye anateuliwa na Rais, anaweza kutenguliwa muda wowote.
Kwa Katiba ya Nchi yetu, DPP ni mteule wa Rais. Hayuko huru.