Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Wewe umesoma kweli? Dpp anatakiwa awe huru. Katiba ipo wazi. Hapa raisa anatamka hadharani kufuta kesi baada ya kuombwa na mtu. Kesi inapofunguliwa mahakamani inatakiwa iishe on merit.
DPP anatakiwa awe HURU na nani? Unajua maana ya kuwa huru? Hakuna mtu yeyote anayeteuliwa na Mtu mmoja ambaye anaweza kuwa huru.
DPP au Mshika nafasi yoyote ambaye anateuliwa na Rais, anaweza kutenguliwa muda wowote.
Kwa Katiba ya Nchi yetu, DPP ni mteule wa Rais. Hayuko huru.
 
DPP ni mteule wa Rais, Rais pia ndio anateua majaji na DPP mara nyingi huwa jaji anapotoka katika hiyo nafasi. Usisahu Rais anateua wote bila vetting yoyote ya bunge pia hivyo sio rahisi kuteua watu ambao watamleta ugumu kwenye matakwa yako.
DPP kuwa mteule wa rais haimaanishi kuwa DPP ni lazima afanye kila anachosema rais.

Hapo ndipo Watanzania wengi wanapofail.

DPP ana uhuru wa kumkatalia rais on principle kama rais kakosea, katika hili DPP kafanywa kuwa rubber stamp tu.

Ndiyo maana watu wanasema Rais kaingilia kazi ya DPP.

Wakati Joseph Warioba akiwa AG, kuna mtu alikuwa na kesi mahakamani kashitakiwa na serikali, yule mtu akaachiwa na mahakama. Rais Nyerere hakupenda, akaamrisha yule mtu ashitakiwe tena. AG Joseph Warioba akamwambia Rais Nyerere kuwa jambo hilo haliwezekani kisheria (double jeopardy), ikabidi Nyerere mwenyewe awe mdogo kwa sababu lilikuwa jambo la kisheria na AG Warioba alikuwa anaijua sheria kuliko Rais Nyerere.

Kifupi AG Warioba alimkatalia Nyerere matakwa yake, on legal basis.

Hapo utaona kuwa si lazima kila anachosema Rais kinakubaliwa na AG/ DPP.

Nyerere alizidisha kumuamini Warioba, kwa sababu alimuona ni mshauri wake anayemwambia ukweli kwa principle, bila ya kuwa mtu wa "Yes sir, yes sir" tu.
 
Hizo zilikuwa busara za Nyerere tu, angeweza kuamua vinginevyo pia na Warioba angetekeleza au aondoke kwenye hiyo nafasi. Nyerere mwenyewe aliizungumzia katiba hii namna hiyo.

Sawa, angeweza, lakini angekuwa kakosea kisheria na kikanuni na hilo lingeonekana.

Na historia ingemhukumu kuwa hapa alikosea.

Alijua hilo, ndiyo maana akajirudi.

Point hapa ni kwamba, DPP/ AG hatakiwi kukubali lolote analoambiwa na Rais.

Na Rais kumpangia DPP kazi haihalalishi DPP kukubali amri ya rais.
 
Unataka niweke msimamo wangu kwako ww kama nani? Ni lini uliweka msimamo wako wako kwangu kipindi cha dhalimu?
Sawa tuko kwenye maridhiano haina haja ya makasiriko.

CCM Oyeeee....
 
Kwani kesi zake ni za madai ya mkopo? Hebu leta ushahidi wa kesi yoyote ya madai ya mkopo.
Mmekuwa wajinga wa kuokoteza Kila upuuzi mnaokaririshwa hapo lumumba
Pole my friend. Rais anase kesi atafuta. Na wewe kwa uelewa wako unaona ni constitutional!
 
Back
Top Bottom