Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

Ukiona hivi tu... Jua mtu Kishamlamba, sasa anaLaLama..!

KuLaLama Kwa sasa haisaidii, itathmini timu yako.. je inao uwezo wa Kushindana?
Umri Wa Wachezaji unaruhusu kushindana na Vijana.? Ni hayo tu.
Wewe ndio mjinga wa mwisho kama sio wa kwanza. Umeona hoja alizoziweka mtoa mada? Jibu hizo pambaf.

Yaani mmeshikiwa akili hamjielewi, mnajisifu eti Mwembeyanga ni pazuri kuliko kwa Mkapa! Akili matope kabisa makolo.
 
NIMEHUZUNIKA SANA, KUMBE NAMUNGO NA BIASHARA WALIFIKA HATUA HII YA ROBO FAINALI! NA WAKO KIMYA! KWELI MAKOLO NI MAKOLO TU.
 
Hasira za nini Kijana???
Rudi Ligi Kuu tu, kule sio level zako.
#TumefurahiHamjafuzu
Aliyoandika yana ukweli? Kama ni kweli hiyo issue ya NAMUNGO na BIASHARA imenihuzunisha sana. Yaani mkafikia hadi ku-brand gari?
 
Kiukweli hata mjifariji vipi Yanga ndio mmetia aibu zaidi,hakuna cha kujitetea,kubalini kushindwa jipangeni upya hakuna pa kujifichia,hamuiwezi Simba kimataifa
 
Kwa sababu tulikuwa tunacheza na mabingwa. Nyie mmecheza na walioshindwa kwenye ligi zao huko.

YANGA angecheza na walioshindwa angeongoza kundi na POINTI 15.
Simba hii hii ingekuwa ktk kundi lenu la vobonde ingetoboa.

Hujiulizi kwa nini mwanzoni mlivyotajiwa mmepangwa kundi hilo tu mlishangilia sana mkijua mpira ni rahisi sana?

Mlivyokuwa mnawaita Simba mwakarobo mlijua klabu bingwa ni nyepesi sana,sasa hivi kwa hatua,mliyoishia na kulitia aibu Taifa mnaitwa CHIKUNDI FC
 
Kiukweli hata mjifariji vipi Yanga ndio mmetia aibu zaidi,hakuna cha kujitetea,kubalini kushindwa jipangeni upya hakuna pa kujifichia,hamuiwezi Simba kimataifa
Kwanini mnalazimisha kuwa sawa na Yanga
Sisi tulishiriki club bingwa nyie mko UMISETA
Tofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina mama
 
Kwanini mnalazimisha kuwa sawa na Yanga
Sisi tulishiriki club bingwa nyie mko UMISETA
Tofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina mama
Huko mlipokua nyie sisi tumefuzu hatua ya robo mara nne mfululizo hadi mkatuita mwakarobo

Nyie mabingwa watetezi kutolewa hatua ya makundi ni aibu sana kwa Taifa kwani mmeidhalilisha sana ligi yetu.

Ndio madhara ya kununua mechi huku kusipo na bei mnadhalilika tu bora tungekuwa mabingwa sisi tusingeaibisha nchi tena hadi kugalagazwakwetu,hivyo tumia akili unapocomment
 
Kama mngekuwa Bora mngecheza CAFCL sio UMITASHUMITA yenu
Kama tunahonga kwenye ligi 5IMBA aliyefungwa mara nne mfululizo alihongwa bei gani
Shirikisho ni mashindano ya Namungo na Mlandege
 
Kama mngekuwa Bora mngecheza CAFCL sio UMITASHUMITA yenu
Kama tunahonga kwenye ligi 5IMBA aliyefungwa mara nne mfululizo alihongwa bei gani
Shirikisho ni mashindano ya Namungo na Mlandege
5 inajulikana mlichokifanya kwa Manula na Inonga hadi akauzwa na Manula siku hz hapangwi,ndio maana hata hazituumi,tulihujumiwa
 
Reactions: Tui
Mpira una matokeo ya kustaajabisha, Yanga timu kubwa imetoka hatua za makundi ndo maana na wewe huamini
Tatizo sio kuvuka tu ni muendelezo Mwaka 2023 Gongowazi aliingia fainali ya Shirikisho, 2024 Robo fainali ya Champions League. Mwaka 2025 mmeishia makundi.Mwaka ujao raundi ya awali.
Ndio mnazidi kuharibikiwa mwaka hadi mwaka.Hakuna muendelezo.
Inaonyesha kwamba mnaingia bila malengo. Mkipata inakuwa fluke kwa sababu hamuwezi kurudia mlipoishia.
 
Kwanini mnalazimisha kuwa sawa na Yanga
Sisi tulishiriki club bingwa nyie mko UMISETA
Tofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina mama
Jamaa una roho ndogo na una tabia za kike kike Sanaa, kipindi kile kwenye ligi umefungwa mara mbili ukasema unapumzika na masuala ya mpira.

Haya leo hii tena umeishia makundi unakuja Kuleta tena nongwa. Hata kama ni ushabiki wewe haujui mpira upo hoya hoya tu, halafu siku zote usikubali matarajio yakudhurumu.

Ifikie kipindi lazima ukubali kwamba malengo mliojipangia mmeshindwa kuyafikia.
Halafu kumsema mwenzako kavaa kandambili wakati wewe hata kiatu huna huo ni akili au ujinga?

Uwe unakuja na hoja za msingi sio viroja.
 
Reactions: Tui
5 inajulikana mlichokifanya kwa Manula na Inonga hadi akauzwa na Manula siku hz hapangwi,ndio maana hata hazituumi,tulihujumiwa
Sasa Kwa hoja kama hizi
Kwanini tusimpe Rage heshima Kwa kuwaiteni mbumbumbu
 
Hoja yangu ni kuwa kwanza ukubali kuwa Yanga na Simba hazikuwa kwenye mashindano yenye hadhi sawa
 
Sasa Kwa hoja kama hizi
Kwanini tusimpe Rage heshima Kwa kuwaiteni mbumbumbu
Kwa hiyo huyo ndio role model wako?

Ndio maana Manara alisema Yanga wote ni mataahira wenye akili ni 2 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…