Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

Usiishi ili kumvutia mwanamke bali ishi maisha yako na yeye akipendezwa nayo ndio muingie mikataba yenye uhalisia.....

Ni Sahihi kabisa.
Lakini katika kuishi kwako lazima uangalie namna ya kuacha kizazi chako na hapo ndipo Mwanamke anapoingia.

Itakupasa ufanye kazi Kwa bidii, upate Pesa au ujimudu ili uwavutie wakupatiw uzao
 
Ila hii dunia haina fair,, ukiwa sura mbaya wanawake wanakukataa kama vile ww ndo uliamua kuwa na hyo sura,,,,, afu kuna m$€nge mmoja anakuja kukwambia "tumeumbwa kwa sura na mfano wake" ingekua tumeumbwa kwa sura yake why wengne wawe na sura nzuri wengne wawe na sura kama wanalia? Ina maana huyo aliyeumba ana multiple faces??
 
Mwisho wa siku kugongewa kuko pale pale

Usiugeneralize

Life is not a straight line
 
Mwanaume mzuri yupoje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…