Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

Unauza urojo na ukwaju?
 
Biashara yangu ina copyright issues hivyo samahani jamani sitaitaja maana naifanya mwenyewe tu huku Zanzibar watu wengine bado hawajapata mechanism ya kucopy.

Na soon baada ya wao kucopy nahamia kwenye phase 2.

Mtanisamehe! [emoji120]
[emoji16][emoji16][emoji16]

Nimeshaijua
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haaahaaaaahaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Idea nzuri mkuu ukizingatia vyakula vingi ni same. Ukija na nyama choma asee inaweza kuhit sana.
 
Utanisamehe kama nakwaza, kwasasa mi naona anzisha dini mpya ambayo bado kuanzishwa, hapo umeulaa na kutokelezea mboni
 
HAKUNA BIASHARA ISIYOLIPA KAMA UKIAMUA KUIFANYA KWA MOYO MMOJA NA UKAJIFUNZA, NARUDIA TENA KUJIFUNZA, KWA MARA NYINGINE KUJIFUNZA JINSI BIASHARA HIYO ITAKAVYOKUFAIDISHA NA MBINU ZA KUPATA WAHITAJI WA HUDUMA YAKO.

Nyie manosema biashara ni siri ya mtu basi siri yenyewe ndiyo hiyo hapo.

Usifanye biashara kama huna uelewa nayo. Usifanye biashara kama wateja wako huwajui na hujui wanapatikana wapi.

Usifanye biashara kisa wengi wanasema inalipa.

Usifanye biashara kisa umekutana na idea jamiiforum.

Usifanye biashara kama huna malengo nayo.

Usifanye bishara kama lengo lako ni kupata basic needs pasipo focus ya kufika mbali.

Tambua utofauti uliopo kati ya biashara ya kuanzia kutengeneza mtaji na biashara ya kukufanikisha maishani.

Biashara ni sanaa, inahitaji ubunifu ili kuendelea kuwepo sokoni. Wapo wanamuziki maarufu enzi hizo ila leo hawapo na hatuwasikii, hivi ndivyo biashara ilivyo.

Jifunze principles za biashara na usifanye biashara kisa unao mtaji, kama huna hobby ya business ACHA usiguse biashara na utafute mwenye hobby aendeshe biashara yako.

Mwisho, ukishika biashara moja, komaa nayo mpaka ikutoe ndipo uongeze biashara nyingine.

Narudia tena, kama unafanya biashara kwasasa, hakikisha hiyo biashara imekutoa na ndipo uanze biashara nyingine.

Akili za kuambiwa changanya na zako la sivyo utabaki kuishi NA idea za watu ambazo hujui wao wanazitumia vipi kupata faida kubwa kwenye biashara ambayo wewe unaiona ya kawaida.
 
Ki ukweli hapa hatuwezi kupata mawazo ya biashara..tunadanganyana.Biashara ni Siri ya mtu.Michongo haitolewi mitandaoni Hata siku moja.Ukiona mtu anakuambia biashara fulani inalipa,huyo hafanyi hiyo biashara.
Mkuu wewe unafanya biashara gani kwasasa? Na inakulipa au ndo vile tunalazimisha??
 
Hujatuambia ni biashara gani, unaturingishia tu mapesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…