Kuna biashara uchwara nimeifugua Zanzibar mtaji laki 2 na nusu, lakini hadi sasa Nimetengeneza zaidi ya milion tatu kwa siku kadhaa tu na kila siku nalaza faida ya laki Kama net profit.
Hela hata sipeleki benki natunza chini ya kapeti tu. Leo ndo napeleka benki milion 2.
I'm happy [emoji4]
View attachment 1722606
Kibanda cha chips shida wapishi walevi kinomaHii idea nilikuwa nayo jana tu hapa. Nilitaka kuweka laki 6 kwenye kakibanda ka chips baada ya kufatilia nikaona miyeyusho kwanza vibanda vingi na chips zina usumbufu. Nikafikiri nikiweka pungufu ya hiyo kwenye kibanda cha mamantilie si napata hela ingawa siwezi kamwe kufanya hiyo kazi mpaka niweke wadada.
Bado niko dilemma.
[emoji23]Labda biashara ya ku.jiu.za
Nije chemba unishirikishe bas, sipo zenji nipo pande nyingine kabisaSafi saana! Think deep it ain't illegal yet.
Mimi ilikuja Kama zali tu. Sikuplan Mara ghafla Kama nilionyeshwa kitu ba malaika. Nikapata wazo nikalitekeleza kimya kimya next day faida laki. Wahoooo!
Naishi nao sana huku..mhh...😷.. haoni ajabu kutooga hata siku 3...Waha wamekukosea nini?
Mimi sifanyi biashara mkuu,Mimi naunganisha mteja na mfanyabiashara.Mkuu wewe unafanya biashara gani kwasasa? Na inakulipa au ndo vile tunalazimisha??
Sio habari ya kifungu mkuu ila ni Mbinu ya kufanikiwa,Biashara ni kama Vita.huwezi ukafanikiwa kwa kutaja mbinu zako za kivita.Never.Hii ipo kifungu cha ngapi kwenye katiba??
Ha haaa jamaniNaishi nao sana huku..mhh...[emoji40].. haoni ajabu kutooga hata siku 3...
Lazima anauza sea foods huyu.pweza etc ..niliwai fika forodhan pale zanzibar katika kuangalia kwa macho tu zile meza wale vijana kwa siku lazima anatengeneza faida ya kama elf 40 hiv kwa mtaj hata wa elf40
Eeeehh sema jamaa hataki tu kutuambia ukweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bas inaeza kua ni firechair kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo mdau tupeane ma ideaKupitia Uzi huu Kama Kuna mtu yupo dar na anataka tushirikiane kwenye biashara ya ujasiriamali ikiwemo :
Kuuza maziwa fresh /mtindi
Kuuza chakula
Chips..
Nipo tayari zama dm nikupe contact zangu
Msomi wa Udsm kweli Aibu aiandike HAIBU?,Nina wasiwasi sana na hii comentNimeuza viazi vya mafungu na kwenye sado pale Temeke sterio sokoni apo nipo chuo udsm mwaka wa pili dah afu najishangaa hata nilikua sioni haibu..lkn leo marafiki zangu ndio wanulizia ile biashara mana ninayofanya saivi ni tofauti na matarajio yao .thanks god kwa kidogo ninachopata
Hili tatizo wasomi wetu wameshindwa kabisa kuelimika.Msomi wa Udsm kweli Aibu aiandike HAIBU?,Nina wasiwasi sana na hii coment
Hiyo nayo ni biashara mkuu. Kutoa huduma na kuuza bidhaa zote ni biashara. Biashara kama yako kutunza siri ni sehemu muhimu lakini haiwezi kuzuia kushare na wengine idea yako (sina maana lazima uiweke hapa).Mimi sifanyi biashara mkuu,Mimi naunganisha mteja na mfanyabiashara.
Hii ni faida tuMimi nafanya ya chips, sijaanza muda mrefu, nimemuweka wife asimamie kama biashara yake, kwa siki analaza sio chini ya 20, weekend kama jumapili analaza hata 60
Je ni mtaji mdogoMimi nafanya ya chips, sijaanza muda mrefu, nimemuweka wife asimamie kama biashara yake, kwa siki analaza sio chini ya 20, weekend kama jumapili analaza hata 60
Dah "huyu jamaa" aendeelee kupumzika kwa amani tu.Premier bet buku saba unapata ukiuza laki moja.....sasa ivi raia hawana ela mie nilikua nauza laki nne per day mpaka tano wikiend sasa ndio balaa nagonga laki nane mpaka 1M.......nilikua na mashine mbili moja ya vibosile kuanzia mkeka wa buku kumi na kuendelea hawa walikua balaa mtu anakuja na laki tatu anatoa mkeka mmoja tu mashine nyingine ya hawa wenzangu na mie mikeka ya jero buku mpaka buku tisa.....
Nilikua nafunga kijiji balaa pale mtaani nikikosekana masaa tu natafutwa kwenye simu na wafanya biashara wa lile eneo huwa wananiambia nasie tunauza vinywaji na vyakula sana kupitia wewe mimi mwenyewe sikuwahi kuwaza kabisa kama kuwa kwangu pale ni faida kwa wengine......
Nilisoma chuo miaka mitatu kupitia ile biashara nilimaliza 2015 kizaazaa alipoingia huyu bwana wateja wakaanza kupungua mdogo mdogo mwishowe hakuna kabisa umeuza sana laki tena wikiendi kufika 2017 mwishoni nikafunga rasmi biashara........