Vitu vengine ni upishi
Zanzibar tunazipika za nazi hizo shatashata, zinaungwa na kutunguu maji plus tungule na kotmir. Utajiramba
Ila ukila ya kuwekwa tu kwenye mchuzi yanakuwaga hayana ladha
Nyanya isiposagwa ikapikwa kwa kukatwa katwa tu ninavyo kula naona kama nakula tope la kamasi lenye chumvi lisilo na radha huwa najisika kutapika nikijilazimisha huwa natapika kweli eti