Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
MnafuNaona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
Mimi sitapiki mkuu ila Kuna namna nakuwa sijisikii freshMaboga aisee yapikwe vyovyote hata na nazi, nikila natapika hapo hapo.
Ladha ya uchungu ipo kwenyewho found this as a mboga!, sometimes i think there's people wants to kill us!..๐คฃ
Huwa nakula nyanya chungu halisi hata kisado kizima bila kufumba macho kwa kuhisi uchungu wowote, Wanaume wa Dar wanadeka sana.Nyanya chungu ina mboga yake kama dagaa na chakula chake ni ugali zaidi ya hapo ni matatizo makubwa sana ...kwa wale wasiopenda ugali awawezi kuzipenda nyanza chungu maana mapishi yake ni kwa kulia ugali tu
Hivi kuna mtu anaweza kugonga, zaidi ya mbili kweli!Wanawake wengi wanapenda sana chapati lakin mimi nikila mbili tu sina hamu tena
Usichokielewa ni kwamba, kila kionjo kina faida yake mwilini kiafya.who found this as a mboga!, sometimes i think there's people wants to kill us!..๐คฃ
Sheria ni 2 tu. ukiongeza humalizi. Ukipunguza hushibi.Hivi kuna mtu anaweza kugonga, zaidiya mbili kweli!
Kwani Kuna Kambale WA baharini?Kambale WA mtoni,
Hawa Nmewakuta morogoro na ifakara
Wenyeji wanawashobokea Sana,
nilijaribu kuwala Ila sikuwaelewa kabisa,
Wana ladha kama ya MATOPE
Hapo mnavu na nyanya chungu ndo sitaki hata kusikiaLadha ya uchungu ipo kwenye
Mchunga
Mgagani
Mnavu
Nyanya chungu aka ngogwe
Nk
Inawezekana hupendi ladha hiyo lakini unabugua pilipili mkuu
Bila shaka ukikua utaelewa wewe ni udongo na kwanini uliumbwa ukakabidhiwa bustani ya Eden uilime na kuitunza.Hizo fix mkuu,
Mimi Nina miaka 30 siijuwi chai ya rangi,
Kwahyo tumbo limejaa madini ya masufuria?
Ninachojuwa Mimi chai huleta joto mwilini na sio zaidi.
Sausage ni za uongo kabisa.Chips,kuna zile sijui wanaita sausage nikimuona mtu anakula hasa akawa mwanaume halafu akawa na kitambi aisee mawazo yangu huwa yanaenda mbali kinoma!
Nimecheka kwa sauti halafu nipo pekee.Mabiringanya jamani.Sijui yana ladha gani ? hayamezeki yamejaa mimaji ukitafuna kama unakula boksi.
Nyanya chungu haina uchungu wowote tatizo watu wanazipika kwenye vitu visivyo stahili...hata mchunga ni mboga nzuri sana kwa wanaume ila uliwa na ugali tu siyo kitu kingineHuwa nakula nyanya chungu halisi hata kisado kizima bila kufumba macho kwa kuhisi uchungu wowote, Wanaume wa Dar wanadeka sana.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hao ndiyo akina Juniors ambao wakijipata kidogo tu tayari huacha kabisa kula mboga za majani wakiamini ni umasikini, ila Mungu alivyo Fundi akibambwa kidogo tu na kiugonjwa anaanza kula hivyo vyakula tena kwa masharti bila chumvi wala mafuta...๐Umri mdogo sana huo subiri
Nyama mbichi hii!! kwa chapati mbichi!Kuna chakula kinaitwa INJERA, ni Ethiopian cuisine.....Kile chakula, HAPANA
MlendaNaona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.