Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Wanaume wa mikoani tunapita navyo vyote hivi kiulaiiini.Ladha ya uchungu ipo kwenye
Mchunga
Mgagani
Mnavu
Nyanya chungu aka ngogwe
Nk
Inawezekana hupendi ladha hiyo lakini unabugua pilipili mkuu
Sisi wetu mlenda;kisamvu na mkunungu.Dagaa anasa.Kisamvu
No 2hapaJungu mawe ..hapana kwa kweli
Pizza, burger, chipsi kuku, soseji na urojo urojo ni vyakula vya akina Mama ili wazidi kuwa laini laini wademke vizuri kwa sisi Vidume vyao.Nilijaribu kula pizza, sikuelewa kwanini watu wanachanganyikiwa nayo
Mkuu kwani ukiambiwa Parachichi lina madini ya kuongeza kinga mwilini na wewe na miaka yako zaidi ya 30 ukawa huja wahi kula parachichi ndio utakua hauna damu?Hizo fix mkuu,
Mimi Nina miaka 30 siijuwi chai ya rangi,
Kwahyo tumbo limejaa madini ya masufuria?
Ninachojuwa Mimi chai huleta joto mwilini na sio zaidi.
SausageNaona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
Kumbe mirungi nayo ni aina ya chakula?Nyama ya bata, Wali nazi, Mirungi,
Mkuu Mimi ndizi nyama hata upike ukiwa uchi au fanya uwezavyo haipandi kabisa. Mimi ndizi napenda za kuiba tu Toka shambani basi hizi za kupika nk hamna kitu.Wengi hamjui kupika au mmetokea familia ambazo wanachemsha chakula sio wanapika chakula, mtu anasema wali wa nazi,samaki wa nazi,supu ya kuku na samaki sijui dagaa na nyanya chungu vibaya. Hamko serious nyie! Acheni kuchemsha chakula, mjifunze kupika
Kuna baadhi ya watu lazima wanywe chai ya rangi mara 4 au 5 Kwa siku..Umri mdogo sana huo subiri
Biriani watu wanavyolisifia nilivyokuja kula sijaelewa kabisa.Naona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
Unakosa vitu vitamu mkuu, ndizi nyama ni tamu sana haswa ikipikwa vizuriMkuu Mimi ndizi nyama hata upike ukiwa uchi au fanya uwezavyo haipandi kabisa. Mimi ndizi napenda za kuiba tu Toka shambani basi hizi za kupika nk hamna kitu.
Nimekula Kwa wapishi tofauti tafaut na wanaosifiwa lakini wapi.
Huenda nikweli lakini nimeshajari mara nyingi mno pengine Kwa macho kinakutamanisha kabisa lakini ukiweka mdomoni unaona hapana kabisa...ndo hivyo siwezi lazimisha na sio kwamba natapika au kuugua hapana nikutokupanda tuUnakosa vitu vitamu mkuu, ndizi nyama ni tamu sana haswa ikipikwa vizuri
Kwahyo wale ambao bila kunywa chai ya rangi kichwa lazima kiume, anakuwa amekosa madini gn?Mkuu kwani ukiambiwa Parachichi lina madini ya kuongeza kinga mwilini na wewe na miaka yako zaidi ya 30 ukawa huja wahi kula parachichi ndio utakua hauna damu?
Always make Google your best friend atakupa mwanga wa mambo mengi usiyo yakua mkuu
Naelewa mimi mwenyewe Pizza imenishinda kabisa lakini unakuta kuna watu wanavyoisifia, siku moja nilijaribu sitamani tena kulaHuenda nikweli lakini nimeshajari mara nyingi mno pengine Kwa macho kinakutamanisha kabisa lakini ukiweka mdomoni unaona hapana kabisa...ndo hivyo siwezi lazimisha na sio kwamba natapika au kuugua hapana nikutokupanda tu