Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

Tumeangalia video moja?

Karibia viongozi wote wa G20 wameoneshwa kwenye Video kuanzia Saudi, UK, India, China, Brazil wenyeji etc pamoja na UN wenyewe wote walikua wakisikiliza Hotuba kwa Makini kiongozi niliemuona anakula wala sio part of G20.
 
Kwenye hivyo vikao, viongozi wa kiafrika wakihutubia ndio muda wa watu kwenda nje kunyoosha viungo, kuvuta sigara, na mambo kama hayo.
 
Unajua maana G20 kwanza huo sio mkutano wake..
alafu kama amehutubia pia amepata bahati maana unaweza kuitwa na ukabaki mpenzi mtazamaji tu..
 
Kama matatizo ni watu kuchukua sahani za chakula hebu peleleza labda mzee wa ubwabwa alivamia huko kwenye mkutano maana haonekani huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…