Kuna wazo linaniingia akilini kukuhusu wewe.Nitarudi
Linganisha hotuba ya kusoma ya Che Nkapa, na hotuba ya kusoma ya Jpm, au Ssh. Ni sawa na bahari ya hindi, dhidi ya kudimbwi.Hata Mkapa ni uongo,maana naye speech zake zilikuwa za kusoma.
Mtu pekee aliweza ni nyerere maana speech nyingi alikuwa hasomi anatoa kichwani.
Hiyo magufuri ndo alikuwa na uwezo huo.Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Kamaliza kilichompelekaNdio maana kakimbia huko
Na unadhani no jambo zuriHiyo magufuri ndo alikuwa na uwezo huo.
Alimpiga stop mkalimani huko Kenya asitafisiri hotuba yake Kwa kiingereza
Akili ya Nyerere hakuna Rais amefikia. Angalau Mkapa was smart kiasi flaniHata Mkapa ni uongo,maana naye speech zake zilikuwa za kusoma.
Mtu pekee aliweza ni nyerere maana speech nyingi alikuwa hasomi anatoa kichwani.
πππSometimes kuna sehemu unaalikwa ili ujue your place !
π€£ π€£ π€£Hii imenishtua sana. Nadhani next time tugome Rais wetu asiende.maana ni kama kumdhalilisha kabisa.
π€π€πHuyo hana jipya pia hana influence yoyote iwe nchini au nje ya nchi. Hapa bongo zaidi ya kusifiwa na machawa wala hakubaliki na wananchi sembuse kwenye nchi za wanaojitambua
Uko sahihi...Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
π€π€πSasa mtu umeondoka kwako umeacha msiba kisa tu uwahi kikao huko majuu.
Hao jamaa wamemdharau,hakuna haja ya kukwepesha maneno.
π€£ π€£ π€£Kuna mtu atasema walikuwa wanakula huku wakibubujikwa na machozi kwa utamu wa hotuba ya mheshimiwa wetu
Mkuu sio kweli, mbona asilimia kubwa walikuwa wanamsikiliza.Hakuna mtu mwenye akili timamu atapoteza muda wake kumsikia kiongozi kutoka bara la kiza,ambaye anapata misaada ya ujenzi wa vyoo na wakati huo huo anatumia 500b kununua magari ya kifahari na 200b kuwalipa Wabunge wa vitu maalum.
Mabeberu huwa wanajua kuwa nyoosha viongozi wa Afrika,hasa wakiwa kwenye mataifa Yao kwamba wewe si chochote si lolote umungu mtu ni uko kwa wajinga na wapumbavu.
π€£ π€£ π€£Hao watu hawaaminiki broo.
Wanaweza kutengeneza nyingi halafu wakaiba zote kasoro moja tu; au wanaweza kupewa fomu wakajaza halafu wakaenguliwa bila sababu za msingi
Matajiri wako ktk kikao chao, agenda "Kuwatawala maskini" alafu ghafla anaingia ombaomba na kopo lake akipaza sauti "...saidia maskini ...nk".Si mnapenda kujikomba nchi hii diplomasia na ushawishi kwenye mikutano mikubwa aliweza Nyerere na Mkapa
The rest hamna kitu
Kikwete angalu alijitahidi kwenye msiba wa Mandela
Nyerere alikuwa akihutubia UN wazungu wanasimama na kumpigia makofi kabisa
Mkapa alikuwa na hotuba zilizonyooka alikuwa amepikwa kweli kuwa Rais wa nchi.
Mwinyi, Magufuli, Samia Hawa kwenye hotuba hamna kitu
Hotuba inahitaji ipitiwe na ichakatwe na wataalamu sio unaamka tu una hasira na mmeo au mkeo unaanza kuongea mambo ambayo hayapo hapo ndio tunapofeli hakuna Kama vile sheikh kuhubiri habari za Mtume kanisani siku ya krismas au askofu kumhubiri Kristo msikitini siku ya idi.