Nani huyo? Lucas Mwashambwa? Huyo dish lilishayumba!Lakini kuna mtu alisema humu kwamba kaushangaza ulimwengu kwa hotuba yake na mwingine alienda mbali zaidi kusema kwamba ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa.Sasa hapa mbona unatueleza tofauti kiongozi
Magufuli alitoa hotuba ya corona dunia nzima iliyikisika, hadi Trump akaitisha maombiSi mnapenda kujikomba nchi hii diplomasia na ushawishi kwenye mikutano mikubwa aliweza Nyerere na Mkapa
The rest hamna kitu
Kikwete angalu alijitahidi kwenye msiba wa Mandela
Nyerere alikuwa akihutubia UN wazungu wanasimama na kumpigia makofi kabisa
Mkapa alikuwa na hotuba zilizonyooka alikuwa amepikwa kweli kuwa Rais wa nchi.
Mwinyi, Magufuli, Samia Hawa kwenye hotuba hamna kitu
Hotuba inahitaji ipitiwe na ichakatwe na wataalamu sio unaamka tu una hasira na mmeo au mkeo unaanza kuongea mambo ambayo hayapo hapo ndio tunapofeli hakuna mtu atakusikiliza!!
Kuuza suraSijui hata kinawapeleka nini huko ?
π π ππ Niliuliza hapa hapa... Ameenda kufanya Nini??? Chawa MMOJA akanitukana kuwa Nina wivu na chuki kwa maisha ya watu.ππNimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Kule kuna watu wanasikiliza mambo ya maana sio kusikiliza ngonjera aliyoandikiwa na na Waziri na Steve NyerereNimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Ndo maana mm huwa nasema huyu rais wetu tubadilishane na Rais wa Equatorial Guinea huyu aende kule yule wa kule aje huku.Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Wamueshimu kwa lipi?Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Na ile miwani yake sasa na liushungi yupo busy kusoma utazani risala ya wahitimu wa veta Dakawa MorogoroSasa mtu umeondoka kwako umeacha msiba kisa tu uwahi kikao huko majuu.
Hao jamaa wamemdharau,hakuna haja ya kukwepesha maneno.
Kwa kifupi haters wa sia wanahangaika sana......wameishiwa, hawana issues.Hao viongozi wengine waliohudhuria walivyokuwa wanaongea hao wengine walikaa chini na kumsikiliza?
Kwahy hilo tukio limetokea kwa mama yenu tuu?
Sema nini'? Haters wa Samia mmekuwa kama wake wenzake, mna gubu kweli kweli na vijembe vya vidole juu.π π ππ Niliuliza hapa hapa... Ameenda kufanya Nini??? Chawa MMOJA akanitukana kuwa Nina wivu na chuki kwa maisha ya watu.ππ
We watu wamekufa na wengine wapo chini ya kifusi unaona sawa unasafiri. Kwa staili hii wazungu wataendelea kutuona manyani hasa na ni sawa TU....
Acha uongo.Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Mjuaji at the peakNimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Lakini kiukweli kabisa huyo mama ataongea kitu gani cha kusikilizwa na watu wa G20Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Kimsingi huna hoja unatafuta attention,is like wewe ni mgeni wa kwenye mikutano ππNimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,