Watanganyika gani? Si hawa Wamasai mnaowatandika viboko na kuwafurushaMbona watanganyika wengi wapo mahotelini Zanzibar
Wanzibari wengi kwenye tourism hawapo vizuri, wengi ni wabara tena toka Arusha na KilimanjaroWatanganyika gani? Si hawa Wamasai mnaowatandika viboko na kuwafurusha
Swali analouliza Allen Kilewella ni kwamba Wazanzibar wanafanyaje kazi bila vibali ! Zanzibar vipo!
Wana vibali vya Uzanzibar ukaazi?Wanzibari wengi kwenye tourism hawapo vizuri, wengi ni wabara tena toka Arusha na Kilimanjaro
WanavyoWana vibali vya Uzanzibar ukaazi?
Kitambulisho cha Uzanzibar wenyewe wanapeana kwa kuangalia nywele, seuse chogo wa Tanganyika!Wanavyo
Wewe umekuwaje mtanzania bila kwanza ya Tanganyika na Zanzibar kuungana??Hao watanganyika ndio watu gani unatuletea mambo ya historia za mwaka 1964 kurudi nyuma mimi najijua ni Mtanzania na ninachojua Mzanzibari naye ni Mtanzania
Kumbe Tanganyika kwako wewe ni Dar es salaam!!sasa kwanini ajira za Tanzania Bara asiombe acheni mambo yenu ya kibaguzi Watanzania hatuna hayo mambo ya kubaguana kwa kabila au ukanda ukiwa Dar panda boti nenda Zanzibar enjoy we uliopo Zanzibar njoo Dar es salaam au popote ndani ya Tanzania bara unapojisikia kwenda upo nyumbani hakuna atayekuuliza kwanini umeenda uko.
Jee wazanzibari hawamo kwenye serikali ya Muungano??Kwasababu serikali ya Tanganyika ilivalishwa koti la Serikali ya muungano na Mwl Nyerere toka mwaka 1964 (hivyo serikali ya Tanganyika ilipotezwa kijanjaa) na huenda Karume aliridhia asichokifahamu vyema.
Mzanzibari hata mfanye vipi anajulikana na kila mtu ana kwao Kama ulivyo na kwenu Mkuranga hizo mbinu tulizishtukia zamaniNi suala la muda tu mchanganyiko wa watu Zanzibar utabadilika vya kutosha kuwapa "watanganyika" sauti na nguvu kubwa katika uendeshaji wa SMZ. Hili linafanyika kwa umakini sana.
Hao watanganyika ndio watu gani unatuletea mambo ya historia za mwaka 1964 kurudi nyuma mimi najijua ni Mtanzania na ninachojua Mzanzibari naye ni Mtanzania sasa kwanini ajira za Tanzania Bara asiombe acheni mambo yenu ya kibaguzi Watanzania hatuna hayo mambo ya kubaguana kwa kabila au ukanda ukiwa Dar panda boti nenda Zanzibar enjoy we uliopo Zanzibar njoo Dar es salaam au popote ndani ya Tanzania bara unapojisikia kwenda upo nyumbani hakuna atayekuuliza kwanini umeenda uko.
Nimekuwa wa Mkuranga tena?Mzanzibari hata mfanye vipi anajulikana na kila mtu ana kwao Kama ulivyo na kwenu Mkuranga hizo mbinu tulizishtukia zamani
Bora irudi!!Waasisi walikuwa wanatamka tanzania bara na tanzania visiwani ila kadiri miaka inavyoenda zanzibar inajitenga kwa kasi sana ila muda si mrefu Tanganiyika inarudi
Nimekuchukulia tu maana sikujui kwenu ni wapi ,au Chato?Nimekuwa wa Mkuranga tena?