Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

Ila huwa najiuliza Yale maamuzi yetu ya kusaliti wenza wetu huwa tunayatoa wapi!! Maana huwa yanauma wakituridishia isee!!, kama umemchoka kwanini tusiwaache kwa amani tu!! Ni ile Kujiuliza tu!! Ndugu zangu msinipopoe 🙏🛞
 
Ila huwa najiuliza Yale maamuzi yetu ya kusaliti wenza wetu huwa tunayatoa wapi!! Maana huwa yanauma wakituridishia isee!!, kama umemchoka kwanini tusiwaache kwa amani tu!! Ni ile Kujiuliza tu!! Ndugu zangu msinipopoe 🙏🛞

Na hapo ndio nikaona tuweke pembeni hoja kuchepuka au kutochepuka, mjadala mrefu huo. Turudi Kwa wame ambao ameshaamua kusaliti, isiwepo Hali ya kutaka kuheshimu mwenza na kumthamini Kwa kuogopa Kitanda wakati wewe wote unajianika Kwa mchepuko huku unajitutumua unamheshimu mwenza.
 
Amna, unajua inabidi NATURE ifanye kazi yake ndio maana waswahili wakasema MAFAHARI wawili hawawezi kaa ZIZI moja. Means wanaume wawili hawawez ishi nyumba moja na Mke mmoja, ila kwa Wanawake hata wawe kumi Mwanaume Mmoja wanaweza ishi.

Wanaishi lakini sio Kwa ridhaa Wala kufurahia hiyo hali na mazingira.
 
Yaan iwe privacy mbao iliyopakwa vanish na madoido kuliko mwili wa mumeo? Kitanda c mtabadilisha tyuuh. Je mwili? Nao mtabadilisha?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsanteeeeeeeeeeeeeeeeeeh sanaaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndo uongo na unafiki tunao kataaa siku zote, umeandika maelezo mazuri na marefu, ilaa bado ni uongoooo.

Unafiki tyuuh ndo uliopooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…