Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

Ila huwa najiuliza Yale maamuzi yetu ya kusaliti wenza wetu huwa tunayatoa wapi!! Maana huwa yanauma wakituridishia isee!!, kama umemchoka kwanini tusiwaache kwa amani tu!! Ni ile Kujiuliza tu!! Ndugu zangu msinipopoe 🙏🛞
 
Ila huwa najiuliza Yale maamuzi yetu ya kusaliti wenza wetu huwa tunayatoa wapi!! Maana huwa yanauma wakituridishia isee!!, kama umemchoka kwanini tusiwaache kwa amani tu!! Ni ile Kujiuliza tu!! Ndugu zangu msinipopoe 🙏🛞

Na hapo ndio nikaona tuweke pembeni hoja kuchepuka au kutochepuka, mjadala mrefu huo. Turudi Kwa wame ambao ameshaamua kusaliti, isiwepo Hali ya kutaka kuheshimu mwenza na kumthamini Kwa kuogopa Kitanda wakati wewe wote unajianika Kwa mchepuko huku unajitutumua unamheshimu mwenza.
 
Amna, unajua inabidi NATURE ifanye kazi yake ndio maana waswahili wakasema MAFAHARI wawili hawawezi kaa ZIZI moja. Means wanaume wawili hawawez ishi nyumba moja na Mke mmoja, ila kwa Wanawake hata wawe kumi Mwanaume Mmoja wanaweza ishi.

Wanaishi lakini sio Kwa ridhaa Wala kufurahia hiyo hali na mazingira.
 
Dear OP, It's one thing to cheat on someone but doing it in your bed that's even more disrespectful. Tena naona kama disrespect ni understatement, yaani hapo haisameheki wala haizungumziki.

Wengi wetu tunachukulia kama kitanda ama bedroom zetu ni sehemu binafsi na ni sehemu inayostahili kuheshimiwa.
Umeni cheat sawa lakini kwanini umlete sehemu ambayo mimi na wewe tuna kumbukumbu nyingi pamoja? Maana yake haujali hata privacy zetu.
Yaan iwe privacy mbao iliyopakwa vanish na madoido kuliko mwili wa mumeo? Kitanda c mtabadilisha tyuuh. Je mwili? Nao mtabadilisha?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu wakati anaanza anza kuchepuka pale (sio Kam Baba j huyu ashakubuhu[emoji23]) huwa anapoenda kuchepuka deep down roho yake inamsuta, inamuambia "No, this is not cool, this is not ok, unamkosea mkeo na mungu wako"

Sasa kuififisha nguvu ya kusutwa na nafsi yake ndio anatumia visabab kama vya heshima heshima ili mradi tu nafsi isiendelee kumsuta, kiufupi anajidanganya mwenyew ili azini Kwa amani

Ndio hivo utawaskia siwezi zini kwenye kitanda kwenye kitanda cha mke wangu, ntalala na mwanamke mwingine ila sio rafiki wa mke wangu, wanavua pete waliingia lodge, wengine mpaka umpigia kabisa mke wake anongea nae ili mradi roho itulie azini kwa aman

Wasichotaka kukubali ni kwamba the point is the PROCESS ni kile kitendo cha wewe kulala na mwanamke mwingine ndio zambi yenyewe, haijalishi WHERE, with WHOM, HOW, WHEN uzito ni ule uleeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsanteeeeeeeeeeeeeeeeeeh sanaaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay, hii kwa mtazamo wangu ipo na pande mbili. Wewe unaandika zaidi kwa msaliti yaani mtenda usaliti.

Ila kwa mtendewa ni tofauti. Kinachoumiza zaidi kwenye usaliti ni hisia na kumbukumbu. Unapomsaliti mtu na asijue mazingira ambayo usaliti umetendeka inakuwa tofauti na umemsaliti na anajua ni katika mazingira gani hilo jambo limetokea.

Fikiria nyumba mnayoishi pamoja, au kitanda mnacholala pamoja na mpenzi wako leo unapata kumbukumbu mpya za mpenzi wako kuwa hapo kimapenzi na mtu mwingine.

Sijui nielezee kwa namna gani ila ni namna gani unaweza kulalia hicho kitanda au kutazama mazingira ya hiyo nyumba bila kupata picha ya mpenzi wako akiwa uchi na mtu mwingine? Inakuchelewesha ku heal ama ku move on hata kama umemsamehe au hata kama haujamsamehe ila unaendelea kuishi kwenye hiyo nyumba.

Namfahamu mtu ilibidi auze gari yake baada yamke wake kukataa kulitumia baada ya kujua alifanya mapenzi na mwanamke mwingine kwenye hilo gari. Unaweza ukashangaa kwamba, mbona anaendelea kutumia dick ambayo ilitumika kwa mwanamke mwingine na sio gari lililotumiwa tu?

Hisia na kuvuta picha namna tendo lilivyotendeka ndiyo inaumiza zaidi na unachelewa kusahaulika kuliko hata huo usaliti wenyewe.

Sasa kwa watenda jambo, ili kuepusha haya ndiyo maana wanaona ni bora kwenda kufanyia mbali kwamba hata mwenza wake akijua matokeo yake yanakuwa tofauti. Japo yeah, cheating is cheating .

Unajua nimeandika na kufuta mara ngapi? Hadi ninatamani kulia.
Huyu ndo uongo na unafiki tunao kataaa siku zote, umeandika maelezo mazuri na marefu, ilaa bado ni uongoooo.

Unafiki tyuuh ndo uliopooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom