Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kwa bashasha napokea salamu zako wewe uliye mbali na upeo wa macho yanguNgoja tuisubiri comment ya baba J maana 🤣🤣
Nakusalimu Kwa kishindo anko bujibuji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa bashasha napokea salamu zako wewe uliye mbali na upeo wa macho yanguNgoja tuisubiri comment ya baba J maana 🤣🤣
Nakusalimu Kwa kishindo anko bujibuji
Ewaaa💃💃💃💃Kwa bashasha napokea salamu zako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu
SwadaktaEwaaa💃💃💃💃
Mimi Niko salama salimini
Ila huwa najiuliza Yale maamuzi yetu ya kusaliti wenza wetu huwa tunayatoa wapi!! Maana huwa yanauma wakituridishia isee!!, kama umemchoka kwanini tusiwaache kwa amani tu!! Ni ile Kujiuliza tu!! Ndugu zangu msinipopoe 🙏🛞
Mada za kawaida kama hizi acha kuingiza maswala ya feminism au masculinity maana hakuna jinsia inayosalimika hapo. So acha chief!Hiyo kitaalamu tunaita Toxic Masculine wala hata isikusumbue
Hiyo kitaalamu tunaita Toxic Masculine wala hata isikusumbue
Amna, unajua inabidi NATURE ifanye kazi yake ndio maana waswahili wakasema MAFAHARI wawili hawawezi kaa ZIZI moja. Means wanaume wawili hawawez ishi nyumba moja na Mke mmoja, ila kwa Wanawake hata wawe kumi Mwanaume Mmoja wanaweza ishi.
Ni heshima tu, ila vyte vinawezekana viceversaNikuulize wee tupe tofauti ya kuchepuka nje ya, kitanda chenu na kuchepuka ndani ya kitanda chenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan iwe privacy mbao iliyopakwa vanish na madoido kuliko mwili wa mumeo? Kitanda c mtabadilisha tyuuh. Je mwili? Nao mtabadilisha?Dear OP, It's one thing to cheat on someone but doing it in your bed that's even more disrespectful. Tena naona kama disrespect ni understatement, yaani hapo haisameheki wala haizungumziki.
Wengi wetu tunachukulia kama kitanda ama bedroom zetu ni sehemu binafsi na ni sehemu inayostahili kuheshimiwa.
Umeni cheat sawa lakini kwanini umlete sehemu ambayo mimi na wewe tuna kumbukumbu nyingi pamoja? Maana yake haujali hata privacy zetu.
Ahsanteeeeeeeeeeeeeeeeeeh sanaaaaaaa.Mtu wakati anaanza anza kuchepuka pale (sio Kam Baba j huyu ashakubuhu[emoji23]) huwa anapoenda kuchepuka deep down roho yake inamsuta, inamuambia "No, this is not cool, this is not ok, unamkosea mkeo na mungu wako"
Sasa kuififisha nguvu ya kusutwa na nafsi yake ndio anatumia visabab kama vya heshima heshima ili mradi tu nafsi isiendelee kumsuta, kiufupi anajidanganya mwenyew ili azini Kwa amani
Ndio hivo utawaskia siwezi zini kwenye kitanda kwenye kitanda cha mke wangu, ntalala na mwanamke mwingine ila sio rafiki wa mke wangu, wanavua pete waliingia lodge, wengine mpaka umpigia kabisa mke wake anongea nae ili mradi roho itulie azini kwa aman
Wasichotaka kukubali ni kwamba the point is the PROCESS ni kile kitendo cha wewe kulala na mwanamke mwingine ndio zambi yenyewe, haijalishi WHERE, with WHOM, HOW, WHEN uzito ni ule uleeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndo uongo na unafiki tunao kataaa siku zote, umeandika maelezo mazuri na marefu, ilaa bado ni uongoooo.Okay, hii kwa mtazamo wangu ipo na pande mbili. Wewe unaandika zaidi kwa msaliti yaani mtenda usaliti.
Ila kwa mtendewa ni tofauti. Kinachoumiza zaidi kwenye usaliti ni hisia na kumbukumbu. Unapomsaliti mtu na asijue mazingira ambayo usaliti umetendeka inakuwa tofauti na umemsaliti na anajua ni katika mazingira gani hilo jambo limetokea.
Fikiria nyumba mnayoishi pamoja, au kitanda mnacholala pamoja na mpenzi wako leo unapata kumbukumbu mpya za mpenzi wako kuwa hapo kimapenzi na mtu mwingine.
Sijui nielezee kwa namna gani ila ni namna gani unaweza kulalia hicho kitanda au kutazama mazingira ya hiyo nyumba bila kupata picha ya mpenzi wako akiwa uchi na mtu mwingine? Inakuchelewesha ku heal ama ku move on hata kama umemsamehe au hata kama haujamsamehe ila unaendelea kuishi kwenye hiyo nyumba.
Namfahamu mtu ilibidi auze gari yake baada yamke wake kukataa kulitumia baada ya kujua alifanya mapenzi na mwanamke mwingine kwenye hilo gari. Unaweza ukashangaa kwamba, mbona anaendelea kutumia dick ambayo ilitumika kwa mwanamke mwingine na sio gari lililotumiwa tu?
Hisia na kuvuta picha namna tendo lilivyotendeka ndiyo inaumiza zaidi na unachelewa kusahaulika kuliko hata huo usaliti wenyewe.
Sasa kwa watenda jambo, ili kuepusha haya ndiyo maana wanaona ni bora kwenda kufanyia mbali kwamba hata mwenza wake akijua matokeo yake yanakuwa tofauti. Japo yeah, cheating is cheating .
Unajua nimeandika na kufuta mara ngapi? Hadi ninatamani kulia.
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa.Ngoja niende kwenye ule uzi wako kipenzi
Heshima ipi hiyo unayoizungumzia wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni heshima tu, ila vyte vinawezekana viceversa
Heshima ipi hiyo unayoizungumzia wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app