Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Nashukuru hii comment yako imenipa ujasiri sana. Mkuu si unaona kuajiriwa wakati mwingine ni kujitakia umasikini?
 
Najuta kumfahamu mjinga mmoja aliniharibia direction ya maisha yaani kama nilikuwa naelekea kaskazini nikaanza kuelekea kusini...system nzima aliniharibia yaani ni miaka miwili sijamuona ila maisha yangu hayajawahi kurudi kama zamani
 
Du! Pole sana mkuu. Huyo mjinga kakuibia mtaji wa biashara nini? Hebu funguka kidogo.
 
Sijutii kinachonitokea bali natafuta njia ya kupambana nayo, kwa sababu yote yalipangwa yanitokee, na najua mengi yanakuja mbele yangu. Ndio maana halisi ya maisha,
Maisha ya ni mitihani na siku ya mwisho itajulikana kama nimeshidwa au nimefeli
 
hhahahaahaha pole
 
Very touching story
 
Ufundi gani kibongobongo unaoweza kumuajiri daktari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…