MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 605
Hiyo Mukulu utakapooa lazima ikotokee.malipo ni hapa dunianiDah najuta sana nilianzisha mahusiano na mke wa mtu mpaka aka data na mimi tukafikia mpaka nikamzalisha watoto 2 huku Mme wake akiwa kamzalia mtoto 1 tu. niki waangalia wale watoto naishiaga ku umia tu kuwachukua siwezi kwa sababu wapo kwenye ndoa ya mtu.,hiyo kitu imeniumiza mpaka Leo sijafikiria kuingia kwenye ndoa nikiwaza sijui na mimi takuja kufanyiwa hivyo kwenye ndoa yangu sina hamu kabisa na hawa viumbe ..mbinguni huko tuna kesi nyingi sana za kujibu maana haya maisha acheni tu najuta mpaka kesho kutwa.
Msamehe halafu uone kichapo atakachopata kutoka kwa Mungu! Sbb ukimshikilia unaumia then utashindwa ku move onNajuta nilivyo mvumilia mwanaume miaka 20 bila matunzo na kujimudu mwenyewe kimaisha na kulea watoto mwenyewe yeye analeta pumbu tu na kipigo juu na alikuwa mdokozi wa vijisenti vyangu vya biashara nikamvumilia tu sababu akutetelesha msingi wangu lakini kilicho nifanya nilivue pendo na mwishoo wangu kwake na kilio kikubwa zaidi ya majuto alicho nifanyia kuniibia pesa zangu zote za mtaji mpaka sasa natangatanga nadaiwa pesa za mashure (private) mpaka wamenichoka kulialia wakati enzi zangu ilikuwa pesa ya madafu kulipia watoto 4 najuta kumvumlia mwanaume malio na kupoteza muda wangu na umri wangu wa ujana nikitegemea ataacha yanii daaa! Simsame mpaka uchumi wangu urudi tena ata Nikifa asije kwenye mazishi yangu ata jeneza asiguse atakuwa ananijoki tu nae anajua haya![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Be carefully!Najutia sana mahusinao yangu, sijawahi kupata single. Kila anaekuja ni mme wa mtu tena nakuja kujua badae sana naamua kugive up. Najilaumu sana wapi nilipokosea jamani. Hadi sasa nimeamua kutulia tu.
Na hii hujaanza tu frm no whr,trust me!najuta kumgegeda mamaang mdogo yaan mdogo wa mama toka ntoke ambae alkua mkubwa kiumri n above 40 m n 23, kpnd hicho m nlikua na 17, ye mwenyewe alinianza kila nkikutana nae najckia vbaya sana. NAJUTA NAJUTA NAJUTA
Khaaaa[emoji119][emoji119]Najuta mpaka leo sijui kutongoza msichana/mke,kwani toka mdogo sikuwahi kutongoza.Sema utaratibu na upole wangu najikuta hata kutongoza siweziiiiii.Ukweli najutaaaa mpaka umri huu siwezi kutongoza.
Ndo ilivyo,ulifanya,nawe utafanyiwa!Dah najuta sana nilianzisha mahusiano na mke wa mtu mpaka aka data na mimi tukafikia mpaka nikamzalisha watoto 2 huku Mme wake akiwa kamzalia mtoto 1 tu. niki waangalia wale watoto naishiaga ku umia tu kuwachukua siwezi kwa sababu wapo kwenye ndoa ya mtu.,hiyo kitu imeniumiza mpaka Leo sijafikiria kuingia kwenye ndoa nikiwaza sijui na mimi takuja kufanyiwa hivyo kwenye ndoa yangu sina hamu kabisa na hawa viumbe ..mbinguni huko tuna kesi nyingi sana za kujibu maana haya maisha acheni tu najuta mpaka kesho kutwa.
Mie najuta kuchukua sadaka kanisani nimetumwa na mchungaji kitu nikaona sadaka zimewekwa hapo nikapita na 500 Mungu anisamehe jamani
aiseenajuta kumgegeda mamaang mdogo yaan mdogo wa mama toka ntoke ambae alkua mkubwa kiumri n above 40 m n 23, kpnd hicho m nlikua na 17, ye mwenyewe alinianza kila nkikutana nae najckia vbaya sana. NAJUTA NAJUTA NAJUTA
Roho?Be carefully!
Ni roho hiyo!
Kuolewa itakua issue!
Omba Mungu
Kwa umri niliokua nao kipindi hicho hiyo Mia tano ilikua ka milioni vilemkuu ungekomba nusu kikapu kabisa.. maana kwa mchungaji zinaenda bure tu, na wala hajutii!!
Bango
Usikute ww ndo uliyenpig ile siku....mpk leo nina alam...najutia kukosa subira dhidi ya ex wangu ambaye ni wife material.NILIMPIGA TUKASEPARATE NA HAKUNISAMEHE MPAKA KESHO SITARUDIA TENA KUPIGA MWANAMKE .MUNGU NIJAALIE SUBIRA.
Du pole sana mkuu. Muombe sana Mungu na utubu makosa yako kwa dhati atakusamehe. Mungu ni mwingi wa rehema.Najutia sana mchongo fulani nilipiga job nikajeruhi watu wengi kisa tamaa ya pesa ndefu. Nashukuru Mungu miongoni mwa niliowapiga mamilioni wamenisamehe ila sina amani, ni miaka mitatu sasa imepita.
Hata assets nilizonunua kutokana na hela hiyo hazinifurahishi
nilioa kaka.miez mitatu toka tuachane.i was so mad at her kumbe hakua na kosa!nasikitika kwa ninayoyasikia kuhusu yeye.kampa mtoto jina langu,anasema ana mume mmoja tu na hakuna mwingine atakuja kumgusa tena.I see pole sana mkuu. Kama bado hajaoa nakushauri umuoe maana siku hizi ni nadra sana kumpata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kama huyo zaidi ya kuangukia mikononi mwa wachunaji.