Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Mkuu ahsante kwa jibu zuri, lakini bado naomba kuuliza, Je lengo linaweza kuwa tajiri, kufanya kazi au nn? tafadhal mwongozo..
 
Kuacha kuvuta bange[emoji848]
 
We mlokole unafanya nini humu Jf?
Humu kumejaa masela, nyuzi nyingi humu ni za kulana kimasihara kila uzi unanukia harufu ya mbususu [emoji848]
Harufu ya bange, na pombe kali!
Tena ukikaa vibaya kuna mpaka matapeli!
Bila kusahau sisi wapiga nyeto ambao tunapinga ndoa!
 
Kuzaliwa Africa badala ya ulaya
 
Mengi...ila kikubwa jitahidi mnapooana mjuane nyie kwanza,msiongeze watu wengi katikati yenu...msiishi na mtu na ikiwezekana mchukue muda mrefu kabla ya kupata watoto.
Ukimjua mumeo/mkeo vizuri una chance kubwa ya kuishi na amani...Kwa wale wasio waumini WA kataa ndoa
 
mi ni smart, siwezi nunua kiumbe

naishi na majirani ambao wana ndoa, wana maisha ya ovyo sana, hadi unashangaa ni mkewe au dada yake

yaani ilimradi tu siku ziende
Mkuu sema tu ukweli badala yakupindisha ili angalau ambao hatujaoa tupate Mwanga kuliko unavyoficha haisaidii
 
Yeah, me mwenyewe leo ndio nimejua. Japo amejaribu kukataa 😅😅
Jamaa kakataa kiaina lakini sioni sababu ya yeye kufanya kwanza tunatumia Id fake sasa anamuoga nani kwasababu akiwa muwazi sisi wengine ambao hajaoa tunaweza kujifunza kupitia yeye
 
Umenitia moyo sana mkuu. Nilikosea vingi lakini nimeanza upya kuna wanao niona kama mwehu kisa nimeanza upya
Sama same to me.
Hakuna kuona aibu kwenye kutafuta riziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…