Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

kushawishika kusomea kozi mpya ya procurement kwa kigezo chakupata ajira kirahisi[emoji28][emoji28]

kudate mwanaume asie na ela kwa kuamini tutachuma wote [emoji31][emoji31]
Bado uwe registered in board, mara watake uje na certifocate yao yan tafran na ukipata kazi sehemu ya washenz unaeeza uliwa kwa ajiki ya 20% ambazo ukiwa mtu wa haki huzipigi lkn bado utaonekana mizingua
Dereva tu anayekupeleka material kununua ukitoka anategemea umtoe hata 50 wakati mwenyewe mtu wa haki
 
Kufanya biashara ya miamala badala ya vifaa vya umeme jumla na reja.
Hakika nakuwaga na majuto kwa kuchelewa kuianza hii biashara.
Nawaza nimepoteza 3 years kwa miamala na hakuna kitu nimevuna.
Nahitaji wakala wa SMP TAA
Muamala Haina faida?
 
Ahsante sana ...Niliwahi kukosea pia hapa nilikuwa talented kwenye fani fulani nikajindai kuonyesha hadharani na kila mtu alikuwa anajua finally kilichonipata najuta.
Yeah life ni journey kubwa. Hope ukipata next time ukipata seat, hutopigaa
 
Kuoa, tangu nioe leo ni siku ya sita tu lakini mke kishaota mapum*. Na yeye, kuna katabia anataka akalete naiona jela kabisa inaniita. Hapa napata Mukaka kwanza nijawe na Busara ndio nirudi home! Yaan ata 7 haijaisha mama
Ulikua huoni humu walivokua wakisema kataa ndoa
 
Bado uwe registered in board, mara watake uje na certifocate yao yan tafran na ukipata kazi sehemu ya washenz unaeeza uliwa kwa ajiki ya 20% ambazo ukiwa mtu wa haki huzipigi lkn bado utaonekana mizingua
Dereva tu anayekupeleka material kununua ukitoka anategemea umtoe hata 50 wakati mwenyewe mtu wa haki
acha kabisa kwenye hii sekta kuna ukiritimba mwingi sana
 
Daa nina makosa hadi najiona paka,,

Kuchagua kutanyia kazi wilaya ya nyumbani(unaogopa kuchanganyikana)

Kujiunga vicoba,saccos

kuoa kwa kuvuta/pasi kushirikisha

kuoa mapema

Kukopa pesa ndefu

Kubeti pesa ndefu tena kwa wachina(mbaya mnoo)!!

Kumpa uhuru sana mwanamke(mke wangu)

Kukubali kesi(ilikuwa inanikabiri) iishe ili twende kwenye bargain!!(bora ningekaza)!!

kutokupenda kusali,kujumuika na waumini!!
Pole sana naona una majuto mengi sana
 
Back
Top Bottom