Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Jambo likikushinda usilazimishe watu wengine walichukua kama ulipata kimeo pole ndo maisha kukosea ni sehemu ya maisha ya binadamu
kama ni jambo la kitapeli lazima niwatonye wanaojielewa wasipigwe
 
Legacy ya ndoa ili msurubisha msalabani Analyse
Kwenye maisha wako ndoa zimewashinda na wako wanaofuruhai ndoa kinoma,
Wako walioshindwa maisha japokua wanautimamu wote wa akili na wako waliofanikiwa kwenye maisha

Ustarabu ni pale jambo likikushinda usilazimishe watu wengine walichukie sababu tu wewe lilikushinda ukifikia hii level ni kwamba hukukubali ku-move on na unamkwamo kwenye akili yako
 
Huwez kichukia kitu from no where ukweli ni kwamba alioa ndoa ikamshinda sababu imemshinda basi analazimisha na watu wengine waione mbaya ubinafsi wa hali ya juu na high degree ya unprofessional
Kuna watu ndoa zimewashinda, wanatumia nguvu nyingi kuwaaminisha wengine kuwa ndoa ni mbaya. Lakini pia kuna ambao ndoa zimeenda vzr, wanajaribu kuwaaminisha waliofeli, kuwa ndoa ni nzuri. Haya makundi mawili hayatoweza kuelewana kamwe.

Sio wote watakuwa na matokeo sawa, hata kama jambo wanalolifanya ni sawa
 
Kuna watu ndoa zimewashinda, wanatumia nguvu nyingi kuwaaminisha wengine kuwa ndoa ni mbaya. Lakini pia kuna ambao ndoa zimeenda vzr, wanajaribu kuwaachanisha waliofeli, kuwa ndoa ni nzuri. Haya makundi mawili hayatoweza kuelewana kamwe.

Sio wote watakuwa na matokeo sawa, hata kama jambo wanalolifanya ni sawa
Hio paragraph ya mwisho nimeipenda i wish vijana wadogo wangeisoma

Lakin kinachotufanya watanzania tusifanye vizuri kwenye nyanja tofauti tofauti ni kwa sababu waliotangulia walafail kwa hiyo hawawapi moyo na nguvu vijana wanaotaka kufanya mambo ambayo wao yaliwashinda ndo maana hatuna watu waliofanya makubaa kwenye nyanja tofauti tofauti

All in all mim nitakua upande wa positivity na sio negativity
 
Back
Top Bottom