LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Utachukua hata nembo ya nmb..Kuchukua mkopo NMB wa miaka 7.wa 19500000kuja kupiga hesabu natakiwa kurudisha milioni 39 Ni aibu na kosa ambalo sitarudia maishani ninaishi kwa utumwa
Mikopo ni umbwa
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app