DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Haahah hapana Mkuu, ila sadaka niliiba sana. Najutia sana nimetubu nimeachasaiv huwaibii wenye nyumba/viwanja ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahah hapana Mkuu, ila sadaka niliiba sana. Najutia sana nimetubu nimeachasaiv huwaibii wenye nyumba/viwanja ?
Iende wapi?Na kwa pembeni kuna inaitwa Governor,karibu KinoHivi bado ipo hii bar pale kino?
kuwa mtu wa haki..
Dunia haina haki ukipata nafasi ya kufanya jambo kujinufaisha jinufaishe tu kwakweli..
Mkuu ahsante kwa jibu zuri, lakini bado naomba kuuliza, Je lengo linaweza kuwa tajiri, kufanya kazi au nn? tafadhal mwongozo..Naam mkuu, siri ya maisha ya furaha ipo kwenye kugundua malengo ya maisha na hili watu wengi wameshindwa kulielewa, ukijua umekuja kufanya nini hapa duniani basi utaelewa makusudio yangu.
Wanadamu wanakula, wanavaa, wanakunywa, wanaoana na wanafanya shughuli zao mambo haya yote ni ya njiani tu na ndio maana yana mwisho, hivyo lipo lengo kubwa sasa hapo ndio kwenye siri ya mafanikio.
Kuacha kuvuta bange[emoji848]Habari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo.
Ni kosa gani kubwa ulilifanya kipindi cha nyuma cha maisha yako na ungependa wengine wajifunze ili wasikosee?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wa hivyo siku hizi ni wengi sana!.Kuamini ana chura kufika ndani kumbe alivaa kigodoro.
We mlokole unafanya nini humu Jf?Hata Mimi nilichelewa kuijua kweli.
Nimeokoka na kumjua Mungu nikiwa na miaka 20. Sasa Nina miaka 10 ya wakovu.
Mjueni sana Mungu Ili muwe na Amani ndivyo Mema yatakavyowapata.
Ayubu20:21.
Wakujue Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristu uliyemtuma.
Yohana 17:3
Kuzaliwa Africa badala ya ulayaHabari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo.
Ni kosa gani kubwa ulilifanya kipindi cha nyuma cha maisha yako na ungependa wengine wajifunze ili wasikosee?
🤣🤣🤣🤣Kufungua huu Uzi.
Umenitia moyo sana mkuu. Nilikosea vingi lakini nimeanza upya kuna wanao niona kama mwehu kisa nimeanza upyaMe ninachojua kuanza upya siyo ujinga..
Kwaiyo kwangu sijutii chochote kile kwenye maisha.
Maana kwangu ups and downs ni nying sana.
Wazee bila shaka wamesha nisamehe.aisee rudi ukatubu tena.
Mkuu sema tu ukweli badala yakupindisha ili angalau ambao hatujaoa tupate Mwanga kuliko unavyoficha haisaidiimi ni smart, siwezi nunua kiumbe
naishi na majirani ambao wana ndoa, wana maisha ya ovyo sana, hadi unashangaa ni mkewe au dada yake
yaani ilimradi tu siku ziende
sijaoaMkuu sema tu ukweli badala yakupindisha ili angalau ambao hatujaoa tupate Mwanga kuliko unavyoficha haisaidii
Jamaa kakataa kiaina lakini sioni sababu ya yeye kufanya kwanza tunatumia Id fake sasa anamuoga nani kwasababu akiwa muwazi sisi wengine ambao hajaoa tunaweza kujifunza kupitia yeyeYeah, me mwenyewe leo ndio nimejua. Japo amejaribu kukataa 😅😅
Sama same to me.Umenitia moyo sana mkuu. Nilikosea vingi lakini nimeanza upya kuna wanao niona kama mwehu kisa nimeanza upya
Mbona umesema najuta kuoa?sijaoa
na sitooa
Asante,sitamani kukopa tenaUlichukua ENZI hizo riba asilimia 22. Pole sana, kama halijaisha nenda kaliuze Crdb au pbz Wana asilimia 12 Sasa hivi, upunguze machungu hata ya milioni 2.