Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

mi ni smart, siwezi nunua kiumbe

naishi na majirani ambao wana ndoa, wana maisha ya ovyo sana, hadi unashangaa ni mkewe au dada yake

yaani ilimradi tu siku ziende
Unawaangalia kwa mbali wakiteseka 😅😅
 
Habari zenu wananchi wa Taifa la Jamii Forum, Leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and down nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo, Ni kosa gani kubwa ulilifanya kipindi cha maisha yako na ungependa wengine wajifunze wasikosee?
To think that my father was wrong, sasa nimejua kuwa he was right wakati tayari nina mtoto anayefikiria kuwa her father is wrong. 💥
 
Back
Top Bottom