Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

Hata Mimi nilichelewa kuijua kweli.

Nimeokoka na kumjua Mungu nikiwa na miaka 20. Sasa Nina miaka 10 ya wakovu.

Mjueni sana Mungu Ili muwe na Amani ndivyo Mema yatakavyowapata.
Ayubu20:21.

Wakujue Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristu uliyemtuma.
Yohana 17:3
Walio okoka hawako duniani.
 
Kuuza drugs.

Niliacha baada ya kuwekwa bondi ughaibuni.

Hiyo picha inanitesa kwa miaka.

Nashukuru Mungu sasa hivi unifanyishi dili haramu. Never ever
Aisee kwa sasa umeamua uwe chawa
 
Mkuu ahsante kwa comment hii. japo sijaelewa hapo kwenye siri ya furaha. fafanua plz.
Wasia wangu kwa vijana wenzangu, tumieni umri wenu vyema kila moyo wako unapopiga basi umeshapunguza idadi katika ile hesabu maalumu uliyoandikiwa, msihangaikie sana hii dunia kwani kwa namna yeyote hamuwezi kutoka hapa mkiwa hai.

Jambo la pili, mkitaka amani ya kudumu katika nyoyo zenu toeni viumbe wote na mumtie mola wenu aliyewaumba peke yake, hapo atawapatia wenza wazuri na wenye mapenzi kutoka kwake, atawapatia maisha mazuri na yenye kuwatosheleza, atawazidishia furaha na baraka katika maisha yenu, lakini mkirundika virus na bakteria wa kila aina humo ndani mtajuta na mtazidiwa na stress mpaka kupoteza muelekeo jumla.

Mwisho, ninajuta sana kuchelewa kugundua siri ya maisha ya furaha, nimetumia umri wangu kwa sehemu kubwa kuhangaika kuokota mawe kumbe pana mahali almasi zimejaa tele, kwa hasara hii kila mara nawaeleza watu wa karibu na ndugu jamaa na maraf
 
Habari zenu wananchi wa Taifa la Jamii Forum, Leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and down nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo, Ni kosa gani kubwa ulilifanya kipindi cha maisha yako na ungependa wengine wajifunze wasikosee ?
Wewe mwenyewe hujatoa ya kwako,then unataka wengine watoe...si kuchorana huku?

Who cares
 
Habari zenu wananchi wa Taifa la Jamii Forum, Leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and down nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo, Ni kosa gani kubwa ulilifanya kipindi cha maisha yako na ungependa wengine wajifunze wasikosee ?
Nilipoenda na furushi langu la bangi Oysterbay Polisi, ili niwauzie FFU, maana niliwaona sehemu wakilipuliza, hivyo nikaona ni busara nikiwapelekea mzigo wa jumla
 
Kosa kubwa sana hil, dah kweli binadamu unamwambia mwenzio huna mbelw wa nyuma kama mche wa sabuni! Hakika kumpenda yule mwanamke ndio lilikuwa kosa kubwa sana
Acha tu ndugu yangu maumivu niliyonayo wallah ni funzo tosha binadamu ni viumbe ambao ukiwaamini saana na kuwapenda saana basi jiandae kutendwa tena tendo moja takatifu.
 
SMP TAA ndio wakala wa nini?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa

Screenshot_20230217_174249_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom