iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Hayakua maamuzi yangu mkuu zilikua influences za wazazi na ndugu kwenda huko elimu ya juu.. Shule nzima niliyosoma baada ya interview tulipita wanafunzi wawili tu hiyo interview ya wale wazungu kati ya watu 200, nilipataga hiyo bahati ya nafasi ya kwenda kusomeshwa Electrical Engineering na kampuni ya madini ya Barrick daah mzazi akazingua akaforce niende University! lakini nlkua napenda sana mambo ya mechanics na umeme ila ndio hivyo tu.Kamwe ucjutie maamuzi yko