uzembe ni swala jumla jumla,sio kila mwenye kitambi ni mzembe.wengine wana miili ya chakula tu kama samo hang.Kuna baadhi ya askari ni wazembe kinyama. Kwanza kitambi kubwa kama gunia la mbaazi.
Mkuu kitambi ni dalili ya uzembe. Uzembe wa kufikiri, kwanini ule chakula kupita kiasi kinachohitajika na mwili wako?uzembe ni swala jumla jumla,sio kila mwenye kitambi ni mzembe.wengine wana miili ya chakula tu kama samo hang.
sawa.Mkuu kitambi ni dalili ya uzembe. Uzembe wa kufikiri, kwanini ule chakula kupita kiasi kinachohitajika na mwili wako?
Fanya shughuli zako tu mambo ya Hamza achana nayo wala hutapata majibu sahihi.Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto...
Hamza alifanya ambush... Kwenye ambush hata awe komando ananyanganywa silaha vizuri tu maana kwenye silaha wa kwanza kubonyeza trigger ya silaha yake ndio mshindi.Hamza kawapokonya vizuri tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna baadhi ya askari ni wazembe kinyama. Kwanza kitambi kubwa kama gunia la mbaazi.
All in all Hayati Hamza amewapokonya askari silaha vizuri tu.Hamza alifanya ambush... Kwenye ambush hata awe komando ananyanganywa silaha vizuri tu maana kwenye silaha wa kwanza kubonyeza trigger ya silaha yake ndio mshind...
Mkishakula mihogo ya kukaanga mkishiba basi mnaandika chochote. Unajua ambush wewe?Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote kinachomfanya aweze kutimiza majukumu yake ya uaskari...
Walisema amejifunza YutyubuHamza kawapokonya vizuri tu!
Uzembe...uzembe..uzembe..kuanzia mauaji, matangazo yake, rulling ya jeshi nknk All inclusive was too unprofessional! And neglence at high level!!!Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote kinachomfanya aweze kutimiza majukumu yake ya uaskari.
Tufanye nini ili wananchi tuambiwe ni kwanini askari wetu walipokonywa silaha zao na Hamza?
Kwanini Hamza asingeachwa ili ahojiwe zaidi yeye mwenyewe?
Hakuna aliyestahili kujiuzulu kwa tukio lote lile?
haya mtaalam twambie inatakiwa iwe angalau mita ngapi??ambapo pistol haifikishi risasi??Kwa hali ya kawaida askari mwenye bunduki anatakiwa akae mita kadhaa na mtu kwa hali ya kawaida angalau mita moja, ili kitendo chochote kitakacholeta mashaka ukigundue mapema na ua act without hesistation , Ila ktk ambush .uchomoki labda target ikukose
wewe ni mkubwa kuliko mawazo haya mkuu.Uzembe...uzembe..uzembe..kuanzia mauaji, matangazo yake, rulling ya jeshi nknk All inclusive was too unprofessional! And neglence at high level!!!
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
alifanikiwa ndio,All in all Hayati Hamza amewapokonya askari silaha vizuri tu.
kumbe hadi lengo lake la kwanza na la pili mnalijua?alifanikiwa ndio,
bahati nzuri lengo lake la pili halikutimia wakamla kichwa.