Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ila ukipita mitaani kuna askari ukiwaangalia daah, huko sisipi waongeze muda iwe hata mwaka na nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauri lakini sidhani kama utabadili hata nukta ya hicho nilichoandikawewe ni mkubwa kuliko mawazo haya mkuu.
haipendezi wakati wote watu wakakwambia fani yako ni ulozi.wakati unafanyia hobi tu.
Hujaelewa kwa hali ya kawaida mfano mpokaji kaja kikawaida,haoneshi kuwa na silaha endapo mtapeana 1m distance utakua tayr kw action yoyte , pia kama mpo wawili mna silaha mfano mmoj anaongea na mtu ambaye si mmoja wenu mwenye silah mwingine anatakiwa awe 1m na nyie kuact kwa chochothaya mtaalam twambie inatakiwa iwe angalau mita ngapi??ambapo pistol haifikishi risasi??
Mtaalamu Sammo alikuwa mtata toja akiwa kijana.ile alama mdomoni alipigwa chupa na jamaa zaidi ya wawili aliokuwa anapigana naouzembe ni swala jumla jumla,sio kila mwenye kitambi ni mzembe.wengine wana miili ya chakula tu kama samo hang.
Mkuu unawajua magaidi? Hivi mtu akimiliki pistol ni gaidi? Vipi yule aliyempiga mwenzake pale Sinza na yeye akijipiga nae ni gaidi?jaribio lolote kuichukua silaha ya askari akiwa anatekeleza majukumu yake ni kucheza na kifo.jambo lolote litakalotokea kama madhara ya jaribio hilo ni juu yako,hamza kwa kujua hilo aliua askari kwanza kwa kutumia bunduki yake pistol. ieleweke kwamba pistol sio upinde au manati ni bunduki pia,tena hatari zaidi kwa polisi maana haionekani kirahisi na ni rahisi kubebeka.
raia wengi wana ufahamu wa hatari iliyopo kwenye silaha hii aina ya bunduki,ni kichaa au mgonjwa wa akili ndiye anaweza leta mzaha ama umwamba mbele yake.
umeshaambiwa hamza ni gaidi,kama ambavyo wale wa kibiti,mkuranga,stakishari nk,bado unataka kujua sababu ya yeye kuwapora silaha!!!alikuwa na kazi nazo za kuua polisi wengi zaidi kama alivyokuwa akipiga kelele kuwaita.
Wanapenda sana kula viporo makambini et wanaita vijogoo au ugali pande unaliwa saa mbili asubihiKuna baadhi ya askari ni wazembe kinyama. Kwanza kitambi kubwa kama gunia la mbaazi.
yote yanafahamika,ila vijiwe vya miguu ya kuku wanasema aliporwa dhahabu.kumbe hadi lengo lake la kwanza na la pili mnalijua?
lengo sio kubadili ulichoandika,ila kukubadili wewe.Asante kwa ushauri lakini sidhani kama utabadili hata nukta ya hicho nilichoandika
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Kunibadili mimi[emoji848][emoji848][emoji848]!!!lengo sio kubadili ulichoandika,ila kukubadili wewe.
eehh hayo malengo ya Hayati Hamza yalikua ni yapi??yote yanafahamika,ila vijiwe vya miguu ya kuku wanasema aliporwa dhahabu.
Sasa mbona hawakutokea ili jamaa apate mavuno mengi zaidisilaha!!!alikuwa na kazi nazo za kuua polisi wengi zaidi kama alivyokuwa akipiga kelele kuwaita.
ak 47 ni silaha ya kivita ila sio rafiki sana kwa malengo ya umbali mfupi,hasa kama mpinzani ana pistol au silaha fupi zaidi.Hujaelewa kwa hali ya kawaida mfano mpokaji kaja kikawaida,haoneshi kuwa na silaha endapo mtapeana 1m distance utakua tayr kw action yoyte , pia kama mpo wawili mna silaha mfano mmoj anaongea na mtu ambaye si mmoja wenu mwenye silah mwingine anatakiwa awe 1m na nyie kuact kwa chochot
sasa ukikutana naye ghafla unawezasema ni mla maandazi tu,kumbe unajichanganya.Mtaalamu Sammo alikuwa mtata toja akiwa kijana.ile alama mdomoni alipigwa chupa na jamaa zaidi ya wawili aliokuwa anapigana nao
unazungumzia mavuno ama askari,maana wenzako wanalaumu kwanini walimuua,au hamza alianguka kifafa mwenyewe???Sasa mbona hawakutokea ili jamaa apate mavuno mengi zaidi
Mkuu unawajua magaidi? Hivi mtu akimiliki pistol ni gaidi? Vipi yule aliyempiga mwenzake pale Sinza na yeye akijipiga nae ni gaidi?
Mleta mada yupo sahihi, kama umepata mafunzo ya kijeshi utaelewa. Kupokonywa silaha, kofia, mkanda au chochote cha jeshi ni uzembe na kosa kubwa sana kwa askari. Acha kubisha.
Nakumbuka intake yetu kuna silaha ilisahaulika uwanja wa kwata, tukiwa amala tunahesabu moja haikutimia, ile siku ndo nilijua kuwa jeshi hakuna mchezo mchezo. Tulipewa kichapo hatari.
Aliyepewa hiyo silaha alidodge wakati wa mapumziko. Silaha akaiacha uwanjani. Wakati tumemaliza kwata, tukarudisha silaha na ndipo ikagundulika moja haipo baada ya taratibu za kuhakiki silaha zilizotoka na zinazorudishwa.
unataka ukayamalizie au???eehh hayo malengo ya Hayati Hamza yalikua ni yapi??
kimoja lazima kibadilike,umekataa maandishi yasibadilike basi wewe utabadilika.Kunibadili mimi[emoji848][emoji848][emoji848]!!!
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Mtu mmoja hawezi kuwa gaidi wala kufanya ugaidi. Ugaidi unafanywa na kundi lenye malengo na madai fulani. Hamza analifanya ugaidi kwa kutumia kundi gani lenye malengo gani? Mtu akiiangalia picha za ngono za ukahaba kwenye internet nae ni kahaba? Je, kuangalia picha za kigaidi kwenye mtandao kunamfanya mtu awe gaidi? Kwanini aliuawa badala ya kushikiliwa kwa mahojiano ya kina kuhusu mtandao wao kama kweli ana mtandao?jaribio lolote kuichukua silaha ya askari akiwa anatekeleza majukumu yake ni kucheza na kifo.jambo lolote litakalotokea kama madhara ya jaribio hilo ni juu yako,hamza kwa kujua hilo aliua askari kwanza kwa kutumia bunduki yake pistol. ieleweke kwamba pistol sio upinde au manati ni bunduki pia,tena hatari zaidi kwa polisi maana haionekani kirahisi na ni rahisi kubebeka.
raia wengi wana ufahamu wa hatari iliyopo kwenye silaha hii aina ya bunduki,ni kichaa au mgonjwa wa akili ndiye anaweza leta mzaha ama umwamba mbele yake.
umeshaambiwa hamza ni gaidi,kama ambavyo wale wa kibiti,mkuranga,stakishari nk,bado unataka kujua sababu ya yeye kuwapora silaha!!!alikuwa na kazi nazo za kuua polisi wengi zaidi kama alivyokuwa akipiga kelele kuwaita.