mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
hata la 7 sijafika.Wewe ni lidarasa la 7 maana inaonekana hata fasihi huiewewi kuku wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata la 7 sijafika.Wewe ni lidarasa la 7 maana inaonekana hata fasihi huiewewi kuku wewe
mwisho utasema wasife maana wamekaa depo miezi 6,ujinga ukikomaa inakuwa sifa ya kimaumbile,au upumbavu.kama ni swala la "Timing,, asa Depo miezi6 wanaenda kufanya nini!?
Ah basi sawa dogohata la 7 sijafika.
mkuu nafatilia tu haya maswala mtandaoni kama hamza na mambo yake ya ugaidi huko youtube.Huyu Mkorinto ukisoma maelezo yake ama ni askari au kama sio basi alishapitia mafunzo hayo. Kama ni askari nimemuelewa vizuri sana
Fanya yote lakini iktokea ukitoa roho ya askari kwa risasi ujue hakuna namna watakuacha. Naona logic yale pia ilikua ni risk sana kumuacha Hamza aendelee kuishi huku akiwa ameshadondosha askari wawili na mlinzi mmoja. ISINGEWEZEKANA.
Na kama Mkorinto sio askari basi anauelewa mpana sana wa mbinu za medani na sheria, kanuni na taratibu za jeshi(iwe polisi, jeiwii au vyovyote)
Hiyo ni hadith mpya, hayo yangekuwa kweli pasipokuacha mashaka kama Hamza angehojiwa. lakini Hamza alimalizwa palepale alipopiga magoti na kuinua mikono yake juu kuashiria kujisalimisha. Askari mwenye weledi angempiga risasi sehemu ambayo isingeuondoa uhai wake ili wapate matandao mzima na hizo hadithi unazozisema.lengo lake lilikuwa kupata silaha,kisha akutane na wenzie nao wakiwa nazo mbili ambazo wangezichukua hapa ufaransa,kisha waelekee next stage sitaitaja.
bahati mbaya akakuta wenzie hawakufanikiwa kufanya alichokifanya.
wakati wapuuzi wanapiga makelele humu unaweza waangalia halafu ukabaki unasikitika tu.
Mkuu huujui ugaidi wewe. Matumizi mabaya ya silaha sio ugaidi. Vinginevyo polisisiem wetu ni magaidi maana hata wao hupiga raia hovyo. Hata Hamza wamemfanyia ugaidi maana walikuwa na uwezo wa kumkamata akiwa hai na sio kumshoot hata alipokuwa amekufa wakaendelea kushoot maiti.kumiliki pistol sio ugaidi,ila aina ya matumzi ya silaha ndio uagaidi wenyewe.
kwani pale ni kipi kilipotea,maana silaha zote alikuwa nazo hamza,na zilikombolewa.
wala mleta mada hajakosea,lakini upotevu wa silaha haukai kundi moja na upotevu wa vifaa vingine vya askari,silaha ni ishu sensitive sana.
kwahiyo hadithi yangu unaona ina ukakasi ila ningesema aliibiwa madini kama ambavyo umedananywa huko ungekubali bila hata kutumia nguvu??Hiyo ni hadith mpya, hayo yangekuwa kweli pasipokuacha mashaka kama Hamza angehojiwa. lakini Hamza alimalizwa palepale alipopiga magoti na kuinua mikono yake juu kuashiria kujisalimisha. Askari mwenye weledi angempiga risasi sehemu ambayo isingeuondoa uhai wake ili wapate matandao mzima na hizo hadithi unazozisema.
Hata akina Ertugrul kwenye tamthilia yao hawaui kwanza adui yao mwenye taarifa muhimu hata kama mtu huyo aliwaua askari wao wengi na muhimu sana. Kukimbilia Kuua askari/mtu mwenye taarifa muhimu za kushinda vita sio mbinu ya kivita hata kidogo. Kuua mtu mwenye taarifa muhimu ni mbinu inayotumika kupoteza ushahidi aliokuwa nao mtu kuhusu jambo linalokuhusu.Huyu Mkorinto ukisoma maelezo yake ama ni askari au kama sio basi alishapitia mafunzo hayo. Kama ni askari nimemuelewa vizuri sana
Fanya yote lakini iktokea ukitoa roho ya askari kwa risasi ujue hakuna namna watakuacha. Naona logic yale pia ilikua ni risk sana kumuacha Hamza aendelee kuishi huku akiwa ameshadondosha askari wawili na mlinzi mmoja. ISINGEWEZEKANA.
Na kama Mkorinto sio askari basi anauelewa mpana sana wa mbinu za medani na sheria, kanuni na taratibu za jeshi(iwe polisi, jeiwii au vyovyote)
hamz alitumia risasi hovyo wapi??ambazo unahisi nime refer kama ugaidi??Mkuu huujui ugaidi wewe. Matumizi mabaya ya silaha sio ugaidi. Vinginevyo polisisiem wetu ni magaidi maana hata wao hupiga raia hovyo. Hata Hamza wamemfanyia ugaidi maana walikuwa na uwezo wa kumkamata akiwa hai na sio kumshoot hata alipokuwa amekufa wakaendelea kushoot maiti.
Wao polisisiem wakubali walikuwa wazembe maana unapokuwa lindo muda wote inabidi uwe tayari na hupaswi kumdhania mtu. Kama wewe ni mfatiliaji pitia sehem tofauti walipo askari wanalinda. Utakuta wamejirundika wote mahali kiasi kwamba ni rahisi kupigwa na watu kama kina Hamza
ugaidi ni vita tofauti kabisa bro.Hata akina Ertugrul kwenye tamthilia yao hawaui kwanza adui yao mwenye taarifa muhimu hata kama mtu huyo aliwaua askari wao wengi na muhimu sana. Kukimbilia Kuua askari/mtu mwenye taarifa muhimu za kushinda vita sio mbinu ya kivita hata kidogo. Kuua mtu mwenye taarifa muhimu ni mbinu inayotumika kupoteza ushahidi aliokuwa nao mtu kuhusu jambo linalokuhusu.
kumiliki pistol sio ugaidi,ila aina ya matumzi ya silaha ndio uagaidi wenyewehamz alitumia risasi hovyo wapi??ambazo unahisi nime refer kama ugaidi??
hayo na mtazamo wenu na hao unaowaita polisiccm,mimi hayanihusu ni mambo ambayo anakuwa nayo mhusika mwenyewe juu ya watu fulani.imefikia hatua polisi wanawezasema jamani mjilinde,mtu anakejeli kwamba polisi ni watu wa hovyo hakuna jema litokalo vinywani mwao.
mimi nakuelekeza tu mchongo ulivyokua,kama una mengine,you'r good to go.
kumiliki pistol sio ugaidi,ila aina ya matumzi ya silaha ndio uagaidi wenyewe
Unajitekenya na kucheka mwenyewe.
siyo wewe uliyesema hayo juu. Sasa niambie kati ya Hamza na hao askari nani gaidi? Na kwanini walimuua wakati alijisalimisha? Taarifa za ugaidi wake ulizitoa wapi na kwa uchinguzi gani? Unasema mtu ni gaidi akiwa kafa.
Wewe ndo huelewi. Katika tukio lile suspect number 1 ni Hamza, na suspect number 2 ni polisisiem. Sasa suspect number 2 ndio aliyefanya uchunguzi na kutuletea majibu kuwa Hamza alikuwa Gaidi mfia dini. Sitaendelea kubishana na wewe maana hujui kitu chochote kabisa. Polisisiem wamekuwa suspect number 2, kwa kumshambulia na kumuua mtu aliyejisalimisha. Kifo cha Hayati Ham boy kina chanzo chake nyuma ya pazia.labda kama una matatizo ya kuelewa.
embu soma tena hiyo sentesi,kaoanishe na ulichonipakazia.
taarifa za ugaidi wake ulitaka zitoke wapi??
nani mwenye malaka ya uchunguzi wa ugaidi??
mtu akiwa mzima atakueleza kwamba yeye ni gaidi??au utachunguza??
aliyekwambia mtu akifa uchunguzi unakwama ni nani??
haya ni mambo mazito,msijihusidhe nayo na itikadi zenu za siasa za mitaroni.
kumbe uko unabishana hapa!!!Wewe ndo huelewi. Katika tukio lile suspect number 1 ni Hamza, na suspect number 2 ni polisisiem. Sasa suspect number 2 ndio aliyefanya uchunguzi na kutuletea majibu kuwa Hamza alikuwa Gaidi mfia dini. Sitaendelea kubishana na wewe maana hujui kitu chochote kabisa. Polisisiem wamekuwa suspect number 2, kwa kumshambulia na kumuua mtu aliyejisalimisha. Kifo cha Hayati Ham boy kina chanzo chake nyuma ya pazia.
haya mtaalam twambie inatakiwa iwe angalau mita ngapi??ambapo pistol haifikishi risasi??
lengo sio kubadili ulichoandika,ila kukubadili wewe.
Mh we utakuwana kitambi maana sio kwa kutetea hukouzembe ni swala jumla jumla,sio kila mwenye kitambi ni mzembe.wengine wana miili ya chakula tu kama samo hang.
Ofcouse, maana huelewi na hujui kitu.kumbe uko unabishana hapa!!!