uzembe wakati nayeye alikua na silaha!!unajua unachoandika??
vipi lindo lile lilitimiza sifa za kuitwa lindo??
huwenda wanakosea,turudi kwenye uhalali wa hamza kufanya alichofanya,maana ni ujinga kudhani labda hamza alikuwa akiwafundisha namna ya kukaa.
mimi sijasema limeanzia kwa hamza,mada hapa ni ugaidi wa hamza,labda kama unakataa ugaidi wa hamza sababu sio yeye wa kwanza kuua askari sawa,tuhamie huko.
ukiwa lindoni,bado ni binaadam kama wengine,kuna muda utapiga simu nyumbani,utakula,au kiteta jambo na mwenzako,hasa ukizingatia wengi wa polisi wanafanya kazi muda mrefu sana.
you wish,but reminding you wakiwamaliza hao utakosa kwa kuhifadhi kalio lako,huu ni mtego wa panya.ni wenye busara tu wanaweza kuona ubaya wake.bahati mbaya vilaza wanacheza matako juu wakishangilia.
aliua 4 akamalizwa.kajifunze ambush inawezakuua askari wangapi kwa wakati mmoja.au unadhani risasi ni kama goli la mapenzi??ulivute weeeee
wewe unaijua hata moja ya huko vitani,au unazionea kwenye runinga ya mabanda ya video??
aisee.