Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
RIP Hayati Hamzaunataka ukayamalizie au???
ngoja turudishe dhahabu zake kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP Hayati Hamzaunataka ukayamalizie au???
ngoja turudishe dhahabu zake kwanza.
Neno mabadiliko ni dhana pana sanakimoja lazima kibadilike,umekataa maandishi yasibadilike basi wewe utabadilika.
Kwa hiyo polisi unanyang'anywa risasi na mtu kama hamza alafu unasingizia ambush?Hamza alifanya ambush... Kwenye ambush hata awe komando ananyanganywa silaha vizuri tu maana kwenye silaha wa kwanza kubonyeza trigger ya silaha yake ndio mshindi.
Bunduki sio Kama jiwe kile ni chuma kikipita kwenye nyama ushaisha mapema tu.
Kwa hiyo kwenye ambush kijeshi mkitegwa hata platoon nzima inaweza kumalizwa na maadui wawili tu.
Tulishapigwa ambush kalemie Congo kwenye oparesheni ya kijeshi. Usiombee.
Yani askari unavamiwa na mtu kama hamza alafu unasingiza ambush?Kwa hali ya kawaida askari mwenye bunduki anatakiwa akae mita kadhaa na mtu kwa hali ya kawaida angalau mita moja, ili kitendo chochote kitakacholeta mashaka ukigundue mapema na ua act without hesistation , Ila ktk ambush .uchomoki labda target ikukose
Hamza anatetewa na chama chake, Chama Cha MagaidiNilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote kinachomfanya aweze kutimiza majukumu yake ya uaskari.
Tufanye nini ili wananchi tuambiwe ni kwanini askari wetu walipokonywa silaha zao na Hamza?
Kwanini Hamza asingeachwa ili ahojiwe zaidi yeye mwenyewe?
Hakuna aliyestahili kujiuzulu kwa tukio lote lile?
Mtu mmoja hawezi kuwa gaidi wala kufanya ugaidi. Ugaidi unafanywa na kundi lenye malengo na madai fulani. Hamza analifanya ugaidi kwa kutumia kundi gani lenye malengo gani? Mtu akiiangalia picha za ngono za ukahaba kwenye internet nae ni kahaba? Je, kuangalia picha za kigaidi kwenye mtandao kunamfanya mtu awe gaidi? Kwanini aliuawa badala ya kushikiliwa kwa mahojiano ya kina kuhusu mtandao wao kama kweli ana mtandao?
ndio maana naamini utabadilika.
uvamizi ni nini nawewe mkongoman??Yani askari unavamiwa na mtu kama hamza alafu unasingiza ambush?
Sio kweli, kila mahali pa kazi watu wanafanya risks analysis na namna ya kukabilana na risks kama zikitokea (risks management). Askari mwenye silaha ni mambo gani anapaswa kuyazingatia kuhusu yeye mwenyewe, silaha yake na watu wanaomzunguuka? Tahadhari gani walichukua kujilinda, kuilinda silaha na kuwalinda wanaomzunguuka?Hamza alifanya ambush... Kwenye ambush hata awe komando ananyanganywa silaha vizuri tu maana kwenye silaha wa kwanza kubonyeza trigger ya silaha yake ndio mshindi.
Bunduki sio Kama jiwe kile ni chuma kikipita kwenye nyama ushaisha mapema tu.
Kwa hiyo kwenye ambush kijeshi mkitegwa hata platoon nzima inaweza kumalizwa na maadui wawili tu.
Tulishapigwa ambush kalemie Congo kwenye oparesheni ya kijeshi. Usiombee.
Dogo soma nilichokiandika unaelewa nini nianaposema Hamza alitaka apate mavuno mengiunazungumzia mavuno ama askari,maana wenzako wanalaumu kwanini walimuua,au hamza alianguka kifafa mwenyewe???
rwanda ina eneo kubwa kiasi,watu,idadi ya askari,mitaa,na idadi ya watu wanaopewa huduma??Rwanda askari kuanzia trafik wako standby muda wote tena hawana viti vya kukaa wala vibanda na hata askari wa doria wako standby muda wote, tanzania askari mlinzi wa benki anakaa kwenye kajumba yuko ndani anaagiza supu anakula kwa kurelax anaenda kunawa huku silaha kaiacha kwenye kijumba, trafiki ndio usisrme hayo matumbo utafhani mafurushi ya mavi, wanaweka na viti kabisa ni kujiachia na kujamba hovyo ukakamavu wa depo ndio uliishia kule kule kuna mambo inabidi yabadilike askari unaweza kiti unakaa kabisa hua nashangaa sana
ukiambiwa kazi ya polisi ni ngumu unabeza.Sio kweli, kila mahali pa kazi watu wanafanya risks analysis na namna ya kukabilana na risks kama zikitokea (risks management). Askari mwenye silaha ni mambo gani anapaswa kuyazingatia kuhusu yeye mwenyewe, silaha yake na watu wanaomzunguuka? Tahadhari gani walichukua kujilinda, kuilinda silaha na kuwalinda wanaomzunguuka?
labda unazungumzia alizeti mkuu.Dogo soma nilichokiandika unaelewa nini nianaposema Hamza alitaka apate mavuno mengi
Wewe ni lidarasa la 7 maana inaonekana hata fasihi huiewewi kuku wewelabda unazungumzia alizeti mkuu.
turudi ktk mada.
kama ni swala la "Timing,, asa Depo miezi6 wanaenda kufanya nini!?Swala la kutumia SILAHA NI SWALA LA "TIMING" Tusiwe wepesi kulaumu eti askari wazembe. Ukishafanyiwa TIMING hata ungekuwa na kombora halitakuwa na faida kwako!
Askari wetu ukiwatuma waende kusimamia usalama kwenye viwanja vya mpira wanashindwa kumuona aliyerusha chupa ya mkojo uwanjani, maana na wao wanaangalia mpira kama wengine tu.Rwanda askari kuanzia trafik wako standby muda wote tena hawana viti vya kukaa wala vibanda na hata askari wa doria wako standby muda wote, tanzania askari mlinzi wa benki anakaa kwenye kajumba yuko ndani anaagiza supu anakula kwa kurelax anaenda kunawa huku silaha kaiacha kwenye kijumba, trafiki ndio usisrme hayo matumbo utafhani mafurushi ya mavi, wanaweka na viti kabisa ni kujiachia na kujamba hovyo ukakamavu wa depo ndio uliishia kule kule kuna mambo inabidi yabadilike askari unaweza kiti unakaa kabisa hua nashangaa sana
lengo lake lilikuwa kupata silaha,kisha akutane na wenzie nao wakiwa nazo mbili ambazo wangezichukua hapa ufaransa,kisha waelekee next stage sitaitaja.Lengo lake hasa lilikuwa nini?