Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

Nilishawahi Kukosa kazi baada ya majaribio kisa kuhisiwa huu upumbavu.

Wakati Mimi mwenyewe nimejichokea kutoka mtaani.
Kisa kuwa mtu wa kupiga kimya na maneno machache.
Zamani kidogo hata mimi niliwahi kufukuzwa kazi kwa kuhisiwa ni mpelelezi.

Jamaa kanikomalia kabisaa, eti nimetumwa kumpeleleza!! At the time ndo nimetoka chuo niko na hustles vibaya!

Kuna watu ni wapuuzi tu!! Wakikuona uko na mishe zako wanakuita FREEMASON.

Sijui ni ujinga au waliaminishwa kwamba mpelelezi yuko hivi na vile!
 
Huyo sio afisa usalama! Ni tapeli na mjinga aliyekubuhu... yaani MPUMBAVU! tu anayetafuta kuogopeka na kupewa attention kama huyu CHIZI mleta mada...

Wale jamaa katu huwezi kuwajua na hawajisemi na wala huwezi kuhisi. Wakikutia mikononi ndo utaenda kuwajulia kule kwao wanakowapelekaga watu wao ambao wanawahitaji wao kwa muda fulani na kwa sababu fulani.

Ukishafikia ngazi fulani aidha ya kujulikana na taifa ndo utakuwa wazi ila huonekani kiurahisi.
 
Sioni ufahari wowote wa mtu kufananishwa na maafisa vipenyo wakati Wana watakuwa wanakukwepa na Dili hawakupi.

Aliniharibia ramani mbwa yule na hisia zake za mchongo
 
Watu kama hao ni wengi sana mitaani. Ukweli ni kwamba hao ni njaa tu na raia wamekuwa na mawazo marahisi sana ya kuona mambo makubwa yanaweza kuwa rahisirahisi kama wanavyodhani kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri. Kwanza Usalama wa taifa huwezi kumhisi wala kumjua. Na hawana njaa za namna hiyo 😊
 
Nilishawahi Kukosa kazi baada ya majaribio kisa kuhisiwa huu upumbavu.

Wakati Mimi mwenyewe nimejichokea kutoka mtaani.
Kisa kuwa mtu wa kupiga kimya na maneno machache.
Siku hizi ukiwa mpole na una-deal tu na mambo yako, alafu ukichangia mada au ukiombwa ushauri unamwaga Points tupu mpaka watu wanabaki midomo wazi basi tegemea kuhisiwa wewe ni Afisa usalama wa taifa kitaa... hii inatesa vijana wengi wanaojitambua na wale wakimya.
 
Baadhi ya vijana wana ujinga mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…