BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwenyezi Mungu anisamehe ila sina Imani na hawa Daudi Mchambuzi, adriz, Bila bila na Bujibuji Simba Nyamaume nahisi ni Watu wa SSIT ( Mfumo )
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwenyezi Mungu anisamehe ila sina Imani na hawa Daudi Mchambuzi, adriz, Bila bila na Bujibuji Simba Nyamaume nahisi ni Watu wa SSIT ( Mfumo )
Vaa pajama bila chupi ndani inafaa pia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haaha sawaVaa pajama bila chupi ndani inafaa pia
Zile ni ofisi za umma, mtu yeyote anaweza kwenda na kupokelewa.Atakuwa ni Mwenyewe kwani ukionekana unazurura zurura Kila siku office utaonywa na kuchukuliwa hatua tu je ni KDC?
😂😂nitamshika Sana manyonyo gles buji
Nimekumiss ujueBujibuji Simba Nyamaume kunatuhuma zako huku 😆
😆😆 Sawa umenimic🤗🤗,una tuhuma huko.Kumbe upo nafasi nyeti na husemi 😁😁🙆🙆?Nimekumiss ujue
Hayo maneno nimeyazoeabtangu niko chuo. Hayana ukweli wowote😆😆 Sawa umenimic🤗🤗,una tuhuma huko.Kumbe upo nafasi nyeti na husemi 😁😁🙆🙆?
Zamani kidogo hata mimi niliwahi kufukuzwa kazi kwa kuhisiwa ni mpelelezi.Nilishawahi Kukosa kazi baada ya majaribio kisa kuhisiwa huu upumbavu.
Wakati Mimi mwenyewe nimejichokea kutoka mtaani.
Kisa kuwa mtu wa kupiga kimya na maneno machache.
Huyo sio afisa usalama! Ni tapeli na mjinga aliyekubuhu... yaani MPUMBAVU! tu anayetafuta kuogopeka na kupewa attention kama huyu CHIZI mleta mada...Kuna siku nilichangia uzi fulani dakika 10 mbele kuna jamaa alinifuata PM akaanza vitisho eti yeye ni Tiss wananifuatilia na blah blah nyingi
Nikamwambia Mkuu kwanza acha ujinga pili nipo verified usihangaike sana, tatu mishe zangu nafanya sehemu fulani na kesho nitakuwa hapo hapo karibuni.
jamaa akaishia kuntukana na sera zake za chama
Sioni ufahari wowote wa mtu kufananishwa na maafisa vipenyo wakati Wana watakuwa wanakukwepa na Dili hawakupi.Zamani kidogo hata mimi niliwahi kufukuzwa kazi kwa kuhisiwa ni mpelelezi.
Jamaa kanikomalia kabisaa, eti nimetumwa kumpeleleza!! At the time ndo nimetoka chuo niko na hustles vibaya!
Kuna watu ni wapuuzi tu!! Wakikuona uko na mishe zako wanakuita FREEMASON.
Sijui ni ujinga au waliaminishwa kwamba mpelelezi yuko hivi na vile!
Watu kama hao ni wengi sana mitaani. Ukweli ni kwamba hao ni njaa tu na raia wamekuwa na mawazo marahisi sana ya kuona mambo makubwa yanaweza kuwa rahisirahisi kama wanavyodhani kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri. Kwanza Usalama wa taifa huwezi kumhisi wala kumjua. Na hawana njaa za namna hiyo 😊Kuna watu huku mitaan ni washamba WA mambo aisee
Kuna mdau alikuwa anahisiwa usalama WA taifa wakati maisha yake ni unga unga tu ila kwa kuwa watu hawamjui anafanya kazi gani
Basi wakajipa mamlaka kuwa jamaa sio mtu WA mchezo mchezo
Basi akini hadithia nabaki kucheka mno
Tunaishi na jamaa ambayo unaweza kusingiziwa chochote.
Jidangnye tu 😊Kwani hao wa TISS na JWTZ si watu wa KAWAIDA?
Ndo mana GENTAMYCINE aliku-tag... nyote kumbe mataahira mnajuana 🤣🤣🤣
Siku hizi ukiwa mpole na una-deal tu na mambo yako, alafu ukichangia mada au ukiombwa ushauri unamwaga Points tupu mpaka watu wanabaki midomo wazi basi tegemea kuhisiwa wewe ni Afisa usalama wa taifa kitaa... hii inatesa vijana wengi wanaojitambua na wale wakimya.Nilishawahi Kukosa kazi baada ya majaribio kisa kuhisiwa huu upumbavu.
Wakati Mimi mwenyewe nimejichokea kutoka mtaani.
Kisa kuwa mtu wa kupiga kimya na maneno machache.
Popoma [emoji23]Mwenyezi Mungu anisamehe ila sina Imani na hawa Daudi Mchambuzi, adriz, Bila bila na Bujibuji Simba Nyamaume nahisi ni Watu wa SSIT ( Mfumo )
Baadhi ya vijana wana ujinga mwingi sanaHuyo sio afisa usalama! Ni tapeli na mjinga aliyekubuhu... yaani MPUMBAVU! tu anayetafuta kuogopeka na kupewa attention kama huyu CHIZI mleta mada...
Wale jamaa katu huwezi kuwajua na hawajisemi na wala huwezi kuhisi. Wakikutia mikononi ndo utaenda kuwajulia kule kwao wanakowapelekaga watu wao ambao wanawahitaji wao kwa muda fulani na kwa sababu fulani.
Ukishafikia ngazi fulani aidha ya kujulikana na taifa ndo utakuwa wazi ila huonekani kiurahisi.