Wewe hujui Avic town iko wapi. Muongozo hapo hata Dege hujafika. Dege iko 20+km,ukitoka Dege unafika Mwembe mdogo, ukitoka Mwembe mdogo kuna Cheka ndio uifikie Avic town,hata lami haijafika. Over 30km from Feri.Avic iko road kaka ukipita kabla hujaifikia Mwongozo unaona geti lake
Kama mie ninapoishi kuna eneo ndani la mita 15x15 limebaki nimeanzisha ufugaji wa samaki wa biashara na kuku pembeni nimepanda mbogamboga kama zote.Hapa nimekuelewa sana Kaka
Ni kweli hata mimi ningependa kufanya nachotaka kwenye nyumba yangu
Sasa watu wamejenga Bunju B,Ununio,Mbweni Teta ambako ni Km za kutosha tu kutoka Magomeni au Kariakoo.Wewe hujui Avic town iko wapi. Muongozo hapo hata Dege hujafika. Dege iko 20+km,ukitoka Dege unafika Mwembe mdogo, ukitoka Mwembe mdogo kuna Cheka ndio uifikie Avic town,hata lami haijafika. Over 30km from Feri.
Avic town nyumba zinauzwa 200m, hakuna chochote nje ya compound yao. Sasa Bunju na Mbweni kuko kama Avic town? Wewe unafikiri kwanini watu hawanunui hizo nyumba?Sasa watu wamejenga Bunju B,Ununio,Mbweni Teta ambako ni Km za kutosha tu kutoka Magomeni au Kariakoo.
Unabishana na wenyeji mkuu??Wewe hujui Avic town iko wapi. Muongozo hapo hata Dege hujafika. Dege iko 20+km,ukitoka Dege unafika Mwembe mdogo, ukitoka Mwembe mdogo kuna Cheka ndio uifikie Avic town,hata lami haijafika. Over 30km from Feri.
Sasa mkuu, kwa hilo tu ,nendaAvic town nyumba zinauzwa 200m, hakuna chochote nje ya compound yao. Sasa Bunju na Mbweni kuko kama Avic town? Wewe unafikiri kwanini watu hawanunui hizo nyumba?
Mie hiko chuo cha Kigamboni city college nakijua vizuri tu tena ni mbele kidogo ya mwembe mdogo.Kijana, nina viwanja na nimejenga nyumba kadhaa za wanafunzi wa chuo cha afya kigamboni. Naenda huko kila weekend. Ni 26km kutoka Feri. Chuo kiko mbele kidogo ya Mwembe mdogo kabla ya Cheka. Ukitoka Cheka ndio unaenda Avic town. Usibishe tu kutafuta kushinda.
Somangira ni Kata mkuuMie hiko chuo cha Kigamboni city college nakijua vizuri tu tena ni mbele kidogo ya mwembe mdogo.
Umezunguka njia ,njia ulopita ndefu.
Maana hiyo Somangira ni sehemu ya Gezaulole.
Duh kazi kweli kweli.Mie hiko chuo cha Kigamboni city college nakijua vizuri tu tena ni mbele kidogo ya mwembe mdogo.
Umezunguka njia ,njia ulopita ndefu.
Maana hiyo Somangira ni sehemu ya Gezaulole.
Nachomaanisha kaka GEZAULOLE IPO NDANI YA SOMANGIRA.Somangira ni Kata mkuu
Unazijua nyumba za Watumishi house zinazopakana na bahari zilizopo Mwongozo?Duh kazi kweli kweli.
Feri-Mjimwema-Kibugumo-Gezaulole-Mwongozo-Dege-Mwembe Mdogo-Cheka---Avic town sawa?
Mi nipo kwenye Construction naizunguka sana Dar,,Sasa watu wamejenga Bunju B,Ununio,Mbweni Teta ambako ni Km za kutosha tu kutoka Magomeni au Kariakoo.
Yani kwasasa, Gezaulole na Somangira ni kata 2 tofauti.Nachomaanisha kaka GEZAULOLE IPO NDANI YA SOMANGIRA.
Sawa.Sasa mkuu, kwa hilo tu ,nenda
-Palm village (kwa Warioba)
-Dar villa (Msasani near Mayfair)
-Morocco square (Mikocheni Morocco)
na Masaki kuna apartments kibao hazina wateja.
Mkuu soko la apartments ni Jiji zima halipo vizuri kwa miaka 7 hii.
Hata Majengo makubwa ya maofisi hayana wateja. Hata majengo ya Supermarket.
Sawa.Unazijua nyumba za Watumishi house zinazopakana na bahari zilizopo Mwongozo?
Asa kutoka pale na Avic sio mbali.
Mie nimezurura napajua mkuu.
Heeee!Basi wameikata aisee.Yani kwasasa, Gezaulole na Somangira ni kata 2 tofauti.
Mana nilienda Wilayani kufuatilia kibali cha ujenzi mwezi November.
Ukitaka ukae sehemu ambayo inakuwa haraka. Nenda sehemu ambapo watu wa kipato cha kati na maskini wanajenga.
Kigamboni viwanja vingi na maeneo vinamilikiwa na watu matajiri ambao hawana shida ya nyumba za kuishi.
Unakuta mtu ana nyumba mbezi beach ila amenunua kiwanja kigamboni.
Huyo mtu hawezi kujenga leo wala kesho.
Hao ndio wanachelewesha mji kukua.
Tofauti na maeneo kama chanika maana wanaonunua viwanja ni watu wenye shida ya nyumba za kuishi. Hivyo wanajenga fasta mji unajaa
KwaniniKigamboni imekwamishwa na matajiri