Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

Kibada ni Temeke
 
Serikali isipochukua hatua tutaendelea kujenga shule vituo vya afya na huduma za maji na umeme mpaka dunia inaisha haiwezekani kila siku watu wanahama na kwenda kuanzisha makazi mapya huu utaratibu ni wa hovyo.
 
Kibada chekechea ni Temeke
Kibada chekechea sio Temeke.
Embu kuwa serious kaka,kibada ipo ndani ya Kigamboni sio Temeke.
Chekechea iko pande mbili,kuna chekechea ya Temeke Kijichi upande wa nyumba za NHC.
Na kuna Kibada chekechea ile kona ya kuelekea kijichi huku nyuma road ya kuelekea Toangoma.
Usichanganye kaka.
 
mimi nadhani ungetaja vitu ambavyo unique, sehemu ikiitwa wilaya kuwa na huduma muhimu kama maji, hospital sijui polisi, chuo kikuu ni mambo ya kawaida siyo kushangaa ni haki yako mwananchi
 
ondoa kijichi tu hapo mkuu
 
Serikali isipochukua hatua tutaendelea kujenga shule vituo vya afya na huduma za maji na umeme mpaka dunia inaisha haiwezekani kila siku watu wanahama na kwenda kuanzisha makazi mapya huu utaratibu ni wa hovyo.
Mimwenyewe nahama mwaka huuu, PAMEKAA kiree sana
 
Unatembea kilometa zaid ya 20 ni mapori tuu nyumba za kuhesabu, Kuna mahali unakuta barabara imechimbika maji tuu pikpik inazama
 

Attachments

  • VID_20240304_110827.mp4
    15 MB
  • VID_20240304_110827.mp4
    15 MB
Hapo kama nimekuelewa, unakuta mtu ana heka 10, anaziacha tuu zinakua mapori na sio mmoja ni wengi
 
Mkuu Kigamboni ni kubwa na inaendelea kwa kasi labda hujaifuatilia.
Kisota,Mwongozo dege,Kibada,Gezaulole kote huko kunajengeka kwa kasi sana .
Hiyo Kisota ukifika unaweza ukaikataa Masaki.
Sema usitarajie kote kujengeke kwa haraka.
Kigamboni ni kubwa sana, wewe unataja huko mwanzo mwanzo, Toka dege nenda kimbiji Hadi Pemba mnazi, tokea kibada pita mwasonga nenda kimbiji au tundwi songani, mkamba, Shariff, sacos, ngoma mapinduzi ni mapori tu unaweza ukasema sio dar Kuna nyumba Hadi za tope
 
Kweli Mimi mwenyewe picha niliokua nayo kuhusu chanika ni tofauti na nlichokiona, pamekua mjini kama pale msumbiji sio poa na idadi ya watu imekua kubwa sana
 
Na Kwa biashara sehemu kama hizo ndio zinafaa umeamua kitu Cha uhakika hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…