Ni kweli Dereva alimuacha Nape akiwa Ukumbini Mlimani City baada ya kupata taarifa bosi wake ametumbuliwa?

Ata uyo dereva ugali wake wa kumuendesha waziri upo hatarini,

mara nyingi akiteuliwa mtu mwengine anapendekez derev mwengine wa kumuendesha.

Wanafanya ivo coz hao wakubwa wana mambo yao ya siri lazima wapate maderev wanao waamini wakuzunguka kwenye mishe zao za siri.
 
Kwa kweli Nape Januari na Mwigu....wanaona hii nchi ni yao. Wana haki nayo kunizidi mimi muuza mkaa wa mafungu hapa Matosa.
 
Hakuna dereva wa serikali anayeweza kufanya jambo la kijinga kama hili.Sio kila mnaloambiwa lazima mliamini,changanya na za kwako.
 
Acha uongo. Ni kuanzia lini waziri anatembea na laptop au mkoba binafsi wenye document za ofisi? Mi mtumishi wa Serikali nauza madafu. Katika kifanyiwa vetting huruhusiwi kutembea na vitu/document vya ofisi kama vitu vyako binafsi. Inatakiwa akamatwe mama alitembea na nyarama za serikali kwenye mkoba binafsi.
 
Dereva ni muajiriwa mkuu. Hata aje nani na amuweke pembeni, yeye ataendesha gari au wizara nyingine tu mkuu.
 
Hakuna dereva wa serikali anayeweza kufanya jambo la kijinga kama hili.Sio kila mnaloambiwa lazima mliamini,changanya na za kwako.
Wewe ndio hujui. Dereva hapakizi mtu. Dereva anapakiza cheo/nafasi. Refer kwa Mwigulu wakati akiwa Waziri wa mambo ya ndani wakati wa JPM na alipoachwa wakati akiwa ziarani Kigoma.
 
Kama ni kweli basi utakuwa ukatili wa hali ya juu.
 
Hatusemi alikosa usafiri. Tunauliza, ni kweli aliachwa?
Kama katenguliwa kuachwa ndicho kinachofata, kama hakuachwa muda huo basi hakufatwa asubuhi.

Hahahaa, unajua tunasahau kuwa hizo nafasi zipo tu kwa ajili ya wanachama wa ccm na Nape popote alipo ni ccm wale cream kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…