Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani lawama zake anazipeleka kwa serikali na sio uongozi wa Muhimbili. serikali ina mawanda mapana kufanya kitu kuboresha huduma na kufanya ama kuwa bure au affordable. pesa nyingi zimeelekezwa kwenye anasa bila kusahau na mirija ya upigaji uliokithiriMkuu Ungeelewa Usingeona Kuwa Jibu langu ni la kifedhuli!
Tatizo watu Wengi mnadhani Kuwa hospitali za Serikali.Huwa zinapewa Pesa ya Kujiendesha..
Lakini Ukweli utaujua kama Ukiwa ndani ya Field hii..
Nitarudia tena Serkali haitoi ruzuku wala offer ya pesa Kwa hospitali yoyote..
Watumishi Wa afya ,Madaktari l, Nurses na wafanyakazi wote wanao wahudumia Nyinyi Mnafikiri wanatoa wapi Posho?? Na Motisha?
Madawa ambayo mnatumia, Na vifaa mnavyotumiwa kuhudumiwa vinatoka wapi??
Mnafikiri uendeshwaji wa Hospitali, Ukarabati na Vitu vingine vyote kwa Ujumla Pesa zimatoka wapi?
Wakati mwingine ni vyepesi sana Kulaumu kwakuwa Haujui Hali ilivyo, Sisi tulio ndani ya Hiyo hali.tunajua Maumivu yake..
Na ndo maana Nikakwambia kwa huduma Unayopewa Humo na Hadhi ya Hospitali yenyewe gharama ya 50k Kwa Siku Ni ndogo sana...
kuna Kipimdi nilikuwa na Rafiki angu Mmoja ni Mbunge..
Kuna Muda tulikuwa Tukibishana sana Kuhusu haya mambo (Kama wewe Hivi) tulifikia Mpaka Kutukanana..
Alipopata Ubunge akapelekwa kamati ya Afya Baada ya Kujua Kuhusu Hospitali zinavyoendeshwa baada ya Miaka miwili ndani ya kamati ya afya aliniita na Kuniomba Msamaha..
Kuna Muda Ni vema Kufanya Research ya Kina Kuhusu Kitu kabla hujalaumu na Kubeza
So what?Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze nyumbani mwenyewe kwenye chumba chake cha efu arobaini kwa mwenzi.
Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu,na watakao zimudu hawatoboi mienzi hata miwili.
majibu kama haya yana justify utumbili wa jamhuri ya ukimani 🐵Vipaumbele hatuna hii nchi, katika sector ambayo haitakiwi ubabaishaji ni sector ya afya. Mtaji wa kwanza wa nchi inayojitambua ni raia wenye afya njema ili wazalishe mali kwa wingi na walipe kodi. Sio siasa chafu na wizi wa kura kama ambavyo jamuhuri ya Mogadishu inavyofanya. Wanatumia nguvu wasalie madarakani ili waendelee kulidhoofisha taifa kwa rushwa,ufisadi na kujilimbikizia mali. Very sad thing.
Bora mliopakimbia maana its hard to stand infront of people and introduce yourself as a United Republic of Mogadishu Citizen.majibu kama haya yana justify utumbili wa jamhuri ya ukimani 🐵
tatizo watu wanakua wakali kama pilupili tukipaita ukimani
Gentleman,LMkuu watu wanapozungumza gharama za Hospital wanazungumzia kwa ujumla kuwa hiki Watanzania wengi wataweza kumudu sio kwamba ukiwa na Bima wewe basi hata ndugu wengine kutoka Kongwa huko na pia wana uwezo wa kuwa na bima ondoa ubinafsi harafu uelewe mtoa hoja anamaanisha nini..
Nina Bima ya kutibiwa Great Skill hospital ya Cape Town gharama za usafiri ni zao kwa tuliobeba box De beers Marine tulikua tunakatwa hela nyingi sana kwa ajili ya matibabu tu ndio ambayo kwa sasa imekua hazina kwetu mwanzo ilikua inabeba hadi wazazi sasa hivi ni mke na watoto wanne tu...Gentleman,
zidisha juhudi katika kufanya kazi. Na ni vizur zaidi uwe na bima ya afya. itakusaiadia sana wewe na familia yako...
Sasa puuza mawaidha haya,
wewe ng'ang'ana kwa bidii kutafuta na kuipa kipaumbele simu ya bei ghali, huku ukipuuza jambo muhimu kama afya yako na familia yako, utakuja kuumbuka kwa kushindwa kununua Panadol huku unamiliki iPhone6?
Je, hilo sio tatizo la Afya ya akili hili kweli gentleman 🐒
kwamba gharama ya afya ni juu zaidi, kuliko smartphone unayoimiliki right?
kutafuta huruma eti gharama fulani za afya ni ghali ni nonsense na completely useless,🐒
nimefurahi mno kuweka kipaumbele muhimu cha afya kwenye bima. Angalau una uhakika wa tiba.Nina Bima ya kutibiwa Great Skill hospital ya Cape Town gharama za usafiri ni zao kwa tuliobeba box De beers Marine tulikua tunakatwa hela nyingi sana kwa ajili ya matibabu tu ndio ambayo kwa sasa imekua hazina kwetu mwanzo ilikua inabeba hadi wazazi sasa hivi ni mke na watoto wanne tu...
Basket Fund Muhimbili Mkuu?Kwani Basket Fund inaenda wapi siku hizi?
Mzee Nilifika Kuangalia Siku moja Bima ya Texas Marekani Duh bima Ni mamilion ya Tsh kwa Mwaka..nimefurahi mno kuweka kipaumbele muhimu cha afya kwenye bima. Angalau una uhakika wa tiba.
Inashangaza jamii,
kwa kiasi kikubwa eti kipaumbele wameweka kwenye kushindana kumiliki simu smartphone toleo jipya ya maana , na kukesha clubs kula bata huku suala la afya likiwa sio kipaumbele kabisa.
subiri augue sasa, anavyolalamika gharama za matibabu.🤣
Tujali afya zetu ndrugo zangu.Afya ni uhai na sio smartphones🐒
Hapana Mkuu ni rahisi Kuongea Negativity kama Huishi maisha hayo..Ni rahisi kuongea hivyo kama unaishi maisha ya kulipiwa kila kitu na ofisi au kampuni.
Na Ndiyo maana Kunakuja Swala zima la Ofisi za Ustawi wa Jamii?Haijalishi, je umma wa Watanzania unamudu hizo gharama? Tukizungumzia umma ni lazma ufuatilia the lowest income earners of the country. Mtu analipwa laki na nusu kwa mwezi. Je, akiumwa anatibiwaje hapo?
Huyo mbunge rafikio anaweza kwenda kulala hata wodi ya million kwa siku maana bunge linamlipia. Wewe unaweza lipa hio elfu 50 maana unaweza kuwa unatengeneza 6 times the sum of money kwa siku.
Je, yule mtanzania muuza maji ya kandoro atawezaje kumudu kumlipia mzazi wake alielazwa elfu 50 kila siku?
Hatimae Muhimbili inaenda kuwa hosptali yenye hadthi ya hosptali ya kitalii maana sio kwa bei hio.....Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze nyumbani mwenyewe kwenye chumba chake cha efu arobaini kwa mwenzi.
Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu,na watakao zimudu hawatoboi mienzi hata miwili.
Kumbuka siyo kila kitu kina linganishwa. Yani Unalinganisha Texas Marekani na Tanzania? Dunia ya kwanza na Dunia ya 100 sijui?Mzee Nilifika Kuangalia Siku moja Bima ya Texas Marekani Duh bima Ni mamilion ya Tsh kwa Mwaka..
Mtu analipa Takribani Milion 7 Kwa ajili ya Bima kwa Miezi 12 tu Kutibiwa..
Nilishangaa Sana...Kwetu mtu analipa 155,000/= kwa mwaka ola anatamani Apate huduma anayoilinganisha na Texas..
Tufike mahali sisi kama Sisi Tuisaidie Serkali Kwenye Viti ambayo tunapaswa sisi kuwa Kipaumbele..
Mtu unashindwa Kutoa Pesa ya Bima bado unapunguziwa halafu bado hutoi hiyo pesa halafu unalia Kutokutibiwa Vizuri
NI haki??
Maombi yanahitajika.1.Ndio ni elfu 50,000/=
2.ni kweli kama taifa hatupo salama Kwa mambo mengi si tu,gharama za hospitali-----bajeti ya ofisi ya mkuu wa wilaya ni mara 10 ya bajeti ya hospitali ya wilaya
3.Tanzania ni zaidi ya jehenamu
4.Ndio watanzania zaidi ya 90%ni masikini ila baa na makasino yanajaa,sigara zinanunuliwa,shisha zinavutwa,harusi zinachangiwa na hio hospitali ulioitaja huwa inajaaga hatakitanda hakuna
Karibu JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE tawi la Muhimbili.Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze nyumbani mwenyewe kwenye chumba chake cha efu arobaini kwa mwenzi.
Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu,na watakao zimudu hawatoboi mienzi hata miwili.
Kipato cha USA ni sawa na huko Tanzania au unaongea tu Mkuu kwa nini unafananisha Nchi ambayo ishaendelea na wanaojitafuta kwenye Bajaji na Boda boda..Wabunge wao tu wanatakiwa wajue kusoma na kuandika ili Nchi iendelee..Mzee Nilifika Kuangalia Siku moja Bima ya Texas Marekani Duh bima Ni mamilion ya Tsh kwa Mwaka..
Mtu analipa Takribani Milion 7 Kwa ajili ya Bima kwa Miezi 12 tu Kutibiwa..
Nilishangaa Sana...Kwetu mtu analipa 155,000/= kwa mwaka ola anatamani Apate huduma anayoilinganisha na Texas..
Tufike mahali sisi kama Sisi Tuisaidie Serkali Kwenye Viti ambayo tunapaswa sisi kuwa Kipaumbele..
Mtu unashindwa Kutoa Pesa ya Bima bado unapunguziwa halafu bado hutoi hiyo pesa halafu unalia Kutokutibiwa Vizuri
NI haki??