Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea Uenyekiti wa Kamisheni ya AU?

Kwani akigombea ni kwa ajili ya shida!? Naamini ikiwa anagombea basi anataka kutoa mchango wake na nguvu zake kwa faida ya Africa.
Mbona rahisi tu
Hana mchango wowote ameharibu nchi hii anaenda huko kufanya nini ? Ameuza gas yote ya nchini nchi inahaha umeme wakati tuna gas haina faida kwa maslahi yake au hujui hilo ? Akija Rais makini huyu anatakiwa anyongwe
 
Wewe ndo ungefanya fact check kuliko kudandia treni kwa mbele ukaaibika. Kuna tofauti kati ya mwenyekiti wa AU ambaye automatically ni mkuu wa nchi wanachama na nafasi hsigombewi na Mwenyekiti wa kamisheni ya tume ya AU ambayo ni nafasi ya kugombea.
Kazi za mwenyekiti wa kamisheni ni zipi?? Ila JK anafaa kabisa...asie na wenge mwenye kisimama kidete..JK is better than Odinga
 
Aiseeh! Yani anagombea kisa akapambane na Paul Kagame. Kweli Tanzania Kuna shida ya akili.
Hujui hiyo vita hapo congo Ina athari kubwa ya uchumi Huku EAC?? Congo ilitulia ni faida kwa nchi za ukanda wa EAC....Wacha mventwaa wafurushwe
 
The greatest politician alive ,mwache agombee maana ndio mtu mwenye ushawishi mkubwa sana Afrika
 
Kama jk anagombea itakua poa sana. AU imekua inapewa viongozi wanaozungumza kifaransa kwa njama za ufaransa. Baadhi wametumika kwa maslahi ya ufaransa. Kuna hii kashfa ya kupewa hadhi israel ya kushiriki vikao vya wakuu wa AU. Hii ilitokea enzi ya felix tshisekedi kama mwenyekiti. Ni kitu kilistaajabisha kwani israel haina lolote na afrika ila kufanya ujasusi na kupora madini ya afrika.
 
Hata kama tetesi zina ukweli, kuna shida yoyote?
 
Hivi kuna binadamu hawatosgeki ? Ana shida gani ? Kuna shida mahali....maana hata mke hamna kitu kichwani amelazimisha ubunge khsaa mtoto kilaza wa karne....lakini fitna na shirkii
Acha wivu mzee kwanini hugombei wewe au baba yako au nyie mmetosheka?
 
Tamaa mbaya sana
Hapo tamaa iko wap chief, mbona unakua na mindset ya ajabu. Let the go for whatever he qualify. Let people use their gifts n talents.

Badala ya kulia lia, go sharpen your qualities msipende kuonewa huruma.
 
Hivi kuna binadamu hawatosgeki ? Ana shida gani ? Kuna shida mahali....maana hata mke hamna kitu kichwani amelazimisha ubunge khsaa mtoto kilaza wa karne....lakini fitna na shirkii
This is purely personal. Kama mkewe hana kitu kichwan wewe inakuhusu nini.. mbona mama zako dada zako wenye viti kichwan bado wana hangaika!?

Hakunaga kitu kinaitwa kutosheka kwa watu ambao wako hapa duniani ku fullfil their born purpose.
masikini ndio wana mindset hii ya kudanya au kutofanya kitu under "shida" drive..
Wengine hawako driven na shida, they are just eager to serve the purpose they were born for
 
Ukiwaweka kikwete na odinga kwenye mizani ya kiuongozi, odinga hamfikii hata nusu. Jk ame practise presidency not just competing kama huyo odinga. The guy has been number one kwenye nchi mashuhuri kama tanzania, huwez mlinganisha na Odinga. A trial n error presidency candidate, never. Anatembelea history tu ya baba ake not otherwise
 
Daaah...nyie kwenu amna Elimu gani? Yaani mmefanya suala la uongozi sasa lionekane jepesi sana toka kikwete awe rais imeonesha kila mtu anaweza kuwa rais. Urais umekuwa Urahis. Keshokutwa na wewe utataka kuwa rais. Na kwa kuwa watanzania wengi ndo hivyo unapata urahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…