Tunakiri kosa la Mbowe ni kutoandaa mrithi wake, lkn yupo sahihi kutomwachia Lissu atakiua.Kama kisu afai awaachie vijana waongoze chama.. anatakiwa ajue kuendelea kung'ang'ania kubaki madarakani siku ikitokea hayupo tena duniani hicho chama chao kitakua ndiyo mwisho wake. Kama hataki kumuachia kisu lazima aachie chama kwa vijana na siyo vinginevyo
Watanzania sisi ni wanafiki na hatuaminiki, watu kama TAL ndomana tunawaoma wa ajabu kwa maana hatujazoea kusema ukweli waziwazi...nadhani siasa za kijamaa zimetufanya tuwe hivi sisi ni waongeaje sana pembeni na sio waziwazi hii ndio tamaduni yetu.Siku moja kwenye siasa ni sawa na mwaka mzima, kwa hiyo minyumbuliko inaruhusiwa kila dakika
MBOWE ni Mwenyekiti wa maishaTuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.
Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.
Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Huyo mchaga ampe mwezake ili amsaidie kuandaa huyo mrithi maana miaka 20+ alikua akifanya nini. ? Lazima mchaga kwa maslai ya wengi ampe chama kisu tofauti na hapo awape vijana wakiongozeTunakiri kosa la Mbowe ni kutoandaa mrithi wake, lkn yupo sahihi kutomwachia Lissu atakiua.
Team Mbowe mnaweweseka kweli kweli.....
KACHOKA VIPI?Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.
Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.
Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
WAPO...KWANI MBONA SAMIA NI RAIS? HATA WEWE UNAWEZA KUWA RAIS KWA VINCHI VYETU VYA KIAFRIKA.............ANYBODY CAN BE A PRESIDNT
Kachoka ki mikakati siyo mwili anatakiwa aongeze strategists wapya wa enzi za Operation Sangara.KACHOKA VIPI?
Tukiachana na kuwa Mkiti wa chama kitu ambacho hawezi, Lissu anaweza kugombea urais lkn sio kuwa Rais, sijui kama naeleweka.WAPO...KWANI MBONA SAMIA NI RAIS? HATA WEWE UNAWEZA KUWA RAIS KWA VINCHI VYETU VYA KIAFRIKA.............ANYBODY CAN BE A PRESIDNT
Hold on!!Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.
Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.
Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Mtu ambae Chama kilimpitisha kuwa mgombea wa Urais wa nchi 2020 hukumjua vizuri?Wakati huo nilikuwa sijamjua vizuri nimebadili mawazo baada ya kuanza kulopoka hovyo hovyo.
Alikuwa ameficha makucha hata hivyo kwani lazima kui ng'ang'ania maiti inayoenda kuzikwa?Mtu ambae Chama kilimpitisha kuwa mgombea wa Urais wa nchi 2020 hukumjua vizuri?
Mnajimaliza sana mnapoongea, kazi mnayo kupangua tofali za maneno yenu kwenye bongo za watanzania waliowaamini!
Ila ukiniuliza Mimi nitakwambia all I am witnessing hapa ni De Javü ya “Kugeuza Gia Angani 2015”.
Leo Tundu A. Lissu amekua ni Mpiga kelele, Nyampara, Mchunga Ng’ombe?!
Seems 2025 will be very interesting…
Itakusaidia nini we choko wa Lumumba.😂 😂 😂 Chadema ni genge la wahuni.
Kumbe kuna watu humu nilikuwa nahisi wako smart kumbe takataka kabisa
Tunawajua kazi zenu za kusambaza mizoga.Alikuwa ameficha makucha hata hivyo kwani lazima kui ng'ang'ania maiti inayoenda kuzikwa?
Anachomhofia lissu mbowe ni uadilifu wake na kutopenda Kona Kona, mbowe ni mjanjamjanjaTuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.
Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.
Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Kitendo Cha kushindwa kuandaa mrithi miaka 20 ni ishara ya uwezo mdogo wa kiuongoziTuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.
Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.
Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Magufuri na lisu ni vitu viwili tofauti, Magufuri alikuwa na uwezo wa kusimama na kutenda. Ila lisu ni Mkosoaji na ni Mwanaharakati mzuriTukisema baadhi ya Watanzania ni Machizi tunamaanisha hawa
View attachment 3183896
View attachment 3183897
Wishful thinkingTunawajua kazi zenu za kusambaza mizoga.
Lakini mkithubutu kwa huyu mbona mtakua mmefungua Pandora’s box, hata kama litafunguka kimya kimya, ila lazima liache alama. Ya Kudumu.
Mtajiponza.
Hata mimi nilizan wanam groom Heche nikaja kusikia kaungana na ni mropokajiJohn Heche angefaasana kuwaongoza Chadema.
Nimtu makini na mwenye msimamo.
Lisu ni mkurupikaji, Mbowe anautulivu na busara lakini hanaujasiri na nimzee wa fursa binafsi.
Chadema wafanye maamuzi ya kumpanafasi John Heche watakiponya chama na nchi pia.