Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Mama anastahili kupumzika Dubai, anaongoza nchi kubwa sana ya watu milioni 60, wakati Kuna wanaume wamekimbia familia ya mtoto moja. Imagine unaongoza nchi ambayo ndani yake Kuna majitu ya hovyo kama Mdude
Nyie chawa kweli kama ni kupumzika kwa nini asipumzike tu hapa hapa .kwa nini asifanye nchi yake nayo iww kama dubai
 
Atanue nini sasa,anapata wapi huo muda wa kutanua wakati nchi ina matatizo lukuki....kama ni kweli alienda basi kuna shida mana na kikwete nae alikuwaga hivi hivi mwisho wasiku tukasikia anataka kuhonga bagamoyo yetu kwa wachina.

Alikwisha kula hela ya Wachina lakini Jiwe akampiga stop na sasa kwa vile anamcontrol Samia ndio anashinikiza ule mradi ufufuliwe ingawa hawajatoa sababu za msingi kutengua kauli ya JIWE kuwa ule mradi ni wa kifisadi!!!
 

Lakini anazalisha wakina January, Nape etc!! Hawa vijana wake ni wezi.
 

It could be because of her ignorance, anahangaika kukopa na kuongeza deni la Taifa lakini hajui hizo pesa zinatumikaje!! Ndio maana muda si mrefu atakuja jikuta anashindwa kumaliza miradi alioachiwa na Jiwe huku nchi imelimbikiza madeni nje na ndani na kuanza kutoa visingizio vya kumlaumu Jiwe ili hali yeye ndio mwenye mapungufu!
 
Alikwisha kula hela ya Wachina lakini Jiwe akampiga stop na sasa kwa vile anamcontrol Samia ndio anashinikiza ule mradi ufufuliwe ingawa hawajatoa sababu za msingi kutengua kauli ya JIWE kuwa ule miradi ni wa kifisadi!!!
Ujinga
 
Kwa nini Jiwe hakuimaliza si aliongoza miaka 5 au? Mama ndio kwanza 2 ,una hoja nyingine?
 
Tatizo la Watzn ni uongo Yuko salama kumbe Kuna mengine Yale Yale ya Jiwe ndio maana hakuna anayewesa amini.

Pia Samia Toka amekuwa Rais haiwezi pita siku 3 hajaenda kwenye event ya public au labda hajafanya ziara za ndani au za Nje ndio maana zaidi ya Siku 10 Sasa lazima watu waulize.
 
Huenda alienda kuweka sawa gawio lake
 
Hii nchi inawapumbavu wengi sana mkuu, ni rahisi sana kumezeshwa ujinga na kuubeba kama ulivyo!
Hata ndege za maraisi wa nchi zinakuwa tracked tu unless serikali iombe taarifa za ndege hiyo zisiwekwe ndo hawaweki. Na hizo taarifa wanazitoa kwenye sources ambazo airliners ana airports zinasubmit maana ni lazima ziwe submitted kwenye vyimbo husika.
So, kusema ndege za maraisi haziwi tracked si kweli unless serikali ndio hizo info zisiwe public
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…