Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

Huwezi kulazimisha mtoto aendelee kwenda shule kipindi cha likizo, wengi wenu humu mnashadadia vitu tu ila kiuhalisia program za ziada shuleni ni kupotezeana muda
 
Kwani wanasoma bure hadi iwe ni lazima?.Hao walimu wanakazania hivyo kwasababu ndipo kula yao ilipo.
Sure,,,, serikalini iwe inawapa posho mana tuna henyeka Ile mbaya mtaani na watoto
 
Kama mwalimu kakushaur ivo ni fika anajua uwezo wa Mtoto wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…