Kwa hiyo unataka Rais atoke ikulu akasikilize kero za soko kukosa vyoo?Tanzania tumepata loss kubwa this time ila tunaelewa Coz kiongozi tuliyempata imekua tu bahati mbaya hakua chaguo letu, tuvumilien tu 2025 si mbali
🤣🤣🤣 huyu mama ni rais wa Dar, Dodoma, Tanga na Zanzibar.Ikifika wakat wa kura had mapangon wanaingia na viduku wanacheza mbwa hawa
Endeleeni kumpamba kwa nyimbo na vigeregere, na wakati wa kuomba kura akae huko huko ikulu akisubiri watendaji wake waende wakampigie kampeni.Hakika dikteta alifanikiwa kutengeneza kundi kubwa la wajinga, and he loved it
Acha basi kudanganya wenzioWewe na wenzako hata msimpopigia kura atashinda tu na yeye mwenyewe aliwahi kusema hivyo. Tume ya uchaguzi atakayoiteua yeye ndio itaamua nani mshindi.
Mwenyewe unawezaje kujua kama una good argument skills? Who is the judge? And what are the arguments points! Mine was merely a question, so do not argue with a question, either you answer or do not.Una poor argument skills.
currently amesafiri mara 3 tu kwenda nje. tena nchi jirani. safari za ndani ya nchi si nyingi.Ila mama anasafiri sana,tangu aanze urais hajatulia kabisa sijui muda wa kufanya maamuzi sahihi anaupata sangapi,muda wa kufikiria changamoto za wananchi na namna za kuzitatua,hata muda wa Ibada na Mwenyezi Mungu anaupata kweli,kila leo safari,events....na ndo ameanza tu majukumu
Mama ruti zake ni za Dar-Dom-Dar kwa ndege, kero za Wananchi atazisikilizia wapi?Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena[emoji113]
Unauliza mavumbi stooJapokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena✋
Anaunda serikali, kuzurula hakusaidii wasaidizi wake amewapa miezi 6 kishughulikia kero za wananchi.wakizingua ?................Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena✋
Wengi wamezoea kusafishwa ubongo 'brain washed' kuambiwa pesa zipoo!Hivi yule mtu aliyesafiri milele hakuzimaliza kero? Maana alijibatiza wa Wanyonge. Kuna Mnyonge aliyesalia? My reference points are in CAG report 2019/2020.
Si kazi ya Rais kuzurura vijijini kote kusikikiza kero za wananchi - Kinachotakiwa ni kuimarisha mfumo wa uongozi toka ngazi ya Mtaa hadi taifa... Kwa mfano mtu mmoja kapora ardhi ya mwenzake kule wilayani - hii si kazi ya Rais kutatua - unless kama anataka kugeuka kuwa msaka kiki.Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena✋
Kwa hiyo unataka Rais atoke ikulu akasikilize kero za soko kukosa vyoo?
Wewe level yako ya uelewa inaishia kule Celebrity forums tu.
Endeleeni kumpamba kwa nyimbo na vigeregere, na wakati wa kuomba kura akae huko huko ikulu akisubiri watendaji wake waende wakampigie kampeni.
Si kazi ya Rais kuzurura vijijini kote kusikikiza kero za wananchi - Kinachotakiwa ni kuimarisha mfumo wa uongozi toka ngazi ya Mtaa hadi taifa... Kwa mfano mtu mmoja kapora ardhi ya mwenzake kule wilayani - hii si kazi ya Rais kutatua - unless kama anataka kugeuka kuwa msaka kiki.
Ndio maana nikasema wewe level yako ni kule Celebrity forums.tu.Nchi hii aliweeza magu tu , nyie miez miwili tu mshaanza kuzurula kutafuta msaada nchi za watu mxieww mnadhan uraisi ni makalio kila mtu anayo
Ndio maana nikasema wewe level yako ni kule Celebrity forums.tu.
Hebu nitajie Rais MMOJA TU wa Tanzania ambaye hajawahi kutafuta hiyo unayoiita misaada!
MTAJE HAPA.