Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

Wewe kura yako haikumfanya ashinde.Hata ungelala nyumbani na mumewe bado angeshinda tu.Usijipe umuhimu sana kwamba wewe unaweza kumfanya mtu kuwa Rais au hata mwenyekiti wa kijiji.
 
Bora udaku wa mitandaoni kuliko Jiwe alikuwa 'anawatrepu' akina Nape, Kinana na January na pia alikuwa anasoma meseji za wasaidizi wake wakisutana.
Ubora upi sasa unaouzungumzia wewe hapo?
 
Sasa unajilalamisha nini kama mjane asiye na mbele wala nyuma.
Sijapinga wapinzani kuchukua nchi. Ndiyo maana nikasema wapinzani watachukua nchi. Naomba usome uelewe. Ningepinga ningesema wapinzani wasichukue nchi. Elewa andiko.
 
Yale mamisafara makubwa ya mwendazake na ulinzi kama wa Rais wa USA ilikuwa ni gharama kubwa sana kuliko hicho alichoendea kukitazama
 
Hawakuwa wanathamaniwa walikuwa wanatumika kama daraja la kuyafikia madaraja na uhalali wa kuwafanya matajiri waishi kama mashetani.
 
Ubora wa kutoingilia faragha za watu kwa kuwa 'trepu" bila ridhaa yao. Udaku wa mitandaoni kila mtu anaruhusiwa kushiriki.
Ubora upi sasa unaouzungumzia wewe hapo?
 
Dah...anasoma mitandaoni mkuu [emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mama,hajamaliza kuunda serikali yake,akishateua wakuu wa mikoa na wilaya,ataanza kazi ya kutembelea nchi na nimeona mahali atakuwa mwanza trh 17 may
 
Sasa kazi ya wakuu wa mikoa, wilaya,watendaji wa kata,wabunge,TISS n.k itakuwa ni nini.

Kweli kichaa alifanikisha kuwabrainwash wapumbavu wengi.
Kwani huko alikoenda uganda na kenya hakuna mabalozi aje na huku kwetu dabaga tumwone kila siku tunamwona kwenye Tv tu
 
Paint it any color you want laki uozo utabaki kuwa uozo tu hivyo basi utaendelea kuitwa uozo, kutuletea fabricated stories kana kwamba hatuna ufahamu na historia ya tawala zilizopita alimradi tu mpate pa kumkandamiza rais wa awamu ya 6 haitasaidia chochote.
Bora sasa tuko kwenye phase ya utawala ambao hauna muelekeo wa kuuana, kutesana na kutekana hivyo basi hizo rubbish mletazo hazina mashiko.
Hii haina maana ya kuwa madam President akitupeleka alijojo tutamnyazia, la hasha.
 
Ipo siku utasoma tena uzi wako halafu utaanza kuona aibu wewe mwenyewe. Time will tell
warumi you were wrong with your prophet of doom. He is gone forever and we will never ever go through that hell of life again.

Yule mtu kama angeendelea kubakia tungekuwa kama Zimbabwea. Shetani takataka ile ibakie huko ilikofukiwa, and if you still adore him you can also die and follow him to hell
 

Hat miez minne haijaisha kashaanza kuzurula, matatizo ya ndani ya nchi yapo kibao kuliko ya huko nje anayoyakimbilia, huyo ni raisi wa Tanzania sio wa east Africa
 
Yani kwamba huoni anavyotatua kero sugu zilizomshinda Jiwe?VRF ilimshinda Jiwe, Sabaya alimshinda Jiwe
 
Alienda kukutana na Rais mwenzake kwa mwaliko Rasmi. Kama na wewe unataka kumuona sura yake tuma mwaliko wako kupitia mwenyekiti wako wa kijiji, autume kwa mkurugenzi,utumwe kwa DC kisha kwa RC, kisha kwa Waziri, Waziri mkuu na Hatimaye ufike kwake Rais.
Kwani huko alikoenda uganda na kenya hakuna mabalozi aje na huku kwetu dabaga tumwone kila siku tunamwona kwenye Tv tu
 
Kama mlichagua wabunge na madiwani bom imekula kwenu.
Rais anapata taarifa kuhusu wananchi wake kupitia wawakilishi wenu kwani si rahisi mtu mmoja amfikie kila mtu nchi nzima.

Jiwe maranyingi alifanya hivyo kwenye vijiji vya barabara ya Moro - Dom- Mwanza.,, akitokea Mwanza au akitokea Dodoma. Alikuwa ansababisha foleni kubwa barabarani hata ajari wakati mwingine.

Mama hataki kusababisha foleni kwenye barabara zetu hizo nyembamba ,,anaruka na jet smoothly.
Tujifunze kuwa serious na maisha yetu tunapochagua wawakilishi wetu. (Ondoa uchaguzi wa mwaka jana, najua hatukupata hiyo fursa.)
 
Mataga kajinyonge tu.
Rais Samia yupo sana tu mpaka 2030. Na ikifika 2030 tutamwongezea muda Atake Asitake.
Mama anamalizia kiporo alichoacha mwendazake. Kumi yake anaianza 2025, so atatoka 2035. MATAGA wana miaka 15 ya kulia na kusaga meno.
 
Ndege ikiwa level anaruhusiwa kuswali.
Swala ni popote ndugu.
Nadiriki kusema mpaka sasa mama anafurahisha wananchi sana. Amani imekuja automatically baada ya mama kuhubiri haki.
 
Kero gan asizozijua? We sema ajitaidi kuzifanyia kazi tu.
 
Utaratibu wa rais kusikiliza kero za wananchi ukoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…