Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

Wanakatisha sana tamaa mkuu Ila ndio binadamu hao tuishi nao tu hivyo hivyo,
Wata kuua we endelea kuishi nao hivo hivo hawana shukurani mimi sasa hivi na dili na day work, fanya kazi na kulipa kwa piece work tuna malizana kwa hiyo siku au wiki, mtu unampa kazi anakagua file zote contact zote mfumo wa uzalishaji unakuuza nje ili upate hasara au matatizo, mgine anaiba vitu hata havijui vinafanya kazi gani.
 
Binaadamu anahitaji mambo matatu tu au manne au matano kwa uhakika bila hekaheka.

Malazi
Mavazi
Chakula
Afya
Mahusiano mazuri na jamii inayokuzunguka na Mungu wako


Ukiwa na uhakika wa hayo inatosha.
Mipango na malengo huwa hayana mwisho na hakuna atayefukuzana na mafanikio akasema ameyamaliza. Tunakufa huku bado tuna mengi hatujayamaliza. Ukiwa na muda na nafasi enjoy siku za uhai wako bila kudhuru afya yako.
 
Hakuna kinacho nizuia starehe yangu ni kunywa pepsi tu 1 baada ya siku mbili, siyo chalii wa madem wala vilevi ni suala la muda tu nataka niibadilishe historia kwa mapenzi ya Mungu
 
πŸ› οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…