Ni mara kumi unywe local beer kuliko hizi imported beer kama Savanna, Heineken, Windhoek n.k

Vipi
Vipi kuhusu Dompo mkuu?
 
🀣🀣🀣 tatzo huna pesa unajifanya unakunywa local bia alaf miaka 5 mbele unauguwa kisukar sasa hapo mgonjwa fgo na kisukar yup atakuwa anayo msongo wa mawazo?
Unalinganisha ugonjwa wa figo na kisukari.

Gharama za insulin na za dialysis unaona zinajaribu hata kuelekeana? Wewe bongo hii uliwahi ona celebrity gani anachangiwa atibiwe kisukari. Wakati waliochangiwa watibiwe figo hadi Prof. Jay na Ruge wapo.

Hivi uliwahi tembelea familia ambayo mwenye nyumba ameugua figo kwa mwaka mmoja tu, hata panya ukimbia nyumbani. Hata vizibo vya soda hupoteana, chupa za maji hukosa. Umaskini unakuwa headquarters. Kuna rafiki yangu tulianza kumuita tapeli anakopa sana, kaacha kuchangia misiba ya wenzake na shughuli muhimu. Kumbe anauguza mzee wake figo hela zimeisha, wameuza mali wamemaliza, wamekopa wamefikia kikomo ndio wakanyoosha mikono akafariki. Bajeti ya hospitali inapiga zaidi ya 500k kwa wiki, na halali uko wala.
 
Niasaidie mkuu.

Nimejiunga JF 2016 niko form V mwanzo nilijuaga watu wa humu wana akili nyingi kumbe kuna vilaza wa kushato humu ndani.
 
Nyote wapuuzi hakuna ugonjwa wenye unafuu hapo "muulize Mbunge bwege, au mbambucha"
Figo siyo tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kama samia bushiri ...figo inafarakanisha familia mgonjwa mmoja wa figo tayari ni wagonjwa wawili wa figo ..kimbembe ni kikubwa ndani ya familia maana ni ugonjwa wa kafara mbili ....huo ugonjwa unafunua mambo mengi sana ndani ya familia maana matibabu yake ni kujitoa sadaka nafsi mbili ...ni sawa sawa na ndugu ysko yuko kwenye mafuliko ya maji unajiuliza uende kumsahidia muangamie wote au umwache uokoe nafsi yako ...sema kwa sababu akili zako ndogo uwezi kuelewa ninacho sema.
 
Mimi sio mnywa beer ila napenda desperado japo watu wanasema beer za akina mama ila mimi napenda tastee yake. Ile ikifojiwa ntajua tu
 
Kwa hiyo wewe unaona figo ni cha mtoto kwa kisukari wewe kweli bonzo😁😁 usicheze na ugonjwa wa figo
Fgo ukiwa na pesa utawekewa ya nguruwe je kisukar utawekewa chumv au magad
 
Kitu cha kusikitisha kwa huyo jamaa ni ubishi hata baada ya kueleweshwa ...figo inafarakanisha familia inauzunisha familia inasononesha familia maana ni ugonjwa wa kujitoa kafara kwa nafsi mbili.
 
Fgo ukiwa na pesa utawekewa ya nguruwe je kisukar utawekewa chumv au magad
Hapo kwenye ya nguruwe hapo ndiyo kwenye swali ..kwanini uwekewe ya nguruwe nasi ya binadamu ? Kimbembe kipo hapo ...familia kupoteza upendo nk
 
Kitu cha kusikitisha kwa huyo jamaa ni ubishi hata baada ya kueleweshwa ...figo inafarakanisha familia inauzunisha familia inasononesha familia maana ni ugonjwa wa kujitoa kafara kwa nafsi mbili.
😜😜😜 nimeelewa mkuu sy ubshi n kupeana tu kaelimu πŸ‘πŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…