Ni mara kumi unywe local beer kuliko hizi imported beer kama Savanna, Heineken, Windhoek n.k

Kitu cha kusikitisha kwa huyo jamaa ni ubishi hata baada ya kueleweshwa ...figo inafarakanisha familia inauzunisha familia inasononesha familia maana ni ugonjwa wa kujitoa kafara kwa nafsi mbili.
Nafsi mbili, ya mgonjwa na yanani?
 
Nilishtuka mapema baada ya kuona ladha zinakua tofauti
 
Sure.
 
Ewaaa yahn changamoto sana unanunua bia moja tsh 5k ukinywa 5 inakuwa tsh 25k hiyo halafu inakuja kukuletea athari kubwa mwilinu
Wanaua figo hao.....buku 25 yako inakuja kukupa gharama kubwa zaidi za matibabu.....kwakweli kama wenye mamlaka wenyewe wanawalea inabidi tu kujiokoa kivyako
 
wa komoni mpo kuna siku jamaa yangu alinikuta na kunywa pombe za machicha wacha anicheke kwamba sina hela nikamjibu hamna shd kikubwa wote tunalewa leo hy anaumwa figo na mwambia vp huna hela mbona figo zina uzwa ananitolea macho asee malipo ni hapahap
 
Back to Kangala, wanzuki and mbege.
 
Nafsi mbili, ya mgonjwa na yanani?
Nipale mnapo ambiwa mgonjwa wenu anatakiwa awekewe figo hapo ndugu wa karibu ndiyo anatakiwa kujitolea figo tayari wagonjwa wanakuwa wawili na kuna matukio mengi tu ya mtoa figo na mpokea figo kufa baada ya miaka michache sana
 
Lakini a simple internet search does not suggest ulichosema hapa.
Tunazungumzia bongo ambapo Dar muuguzi alirekodiwa akiosha vifaatiba kwa majichumvi ya bombani, kisha vingetumika kwa mgonjwa mwingine baada ya yule wa mwanzo.
Tunaisema bongo ambapo vituo kadhaa vya afya mwaka huu vimegundulika kutumia friji za kutunzia nyanya kuhifadhia damu. Wakati kwingine damu inatengwa components zake na inahifadhiwa kwenye friji maalum za damu, sisi kuna watumishi damu wananunua friji la Mr. UK au Boss pale Kariakoo wanatia damu humo.

Na uko unakosoma mtandaoni wagonjwa wanatumia gharama kubwa kujikinga na madhara, ndio maana mtu akitoa figo hupewa kitita cha fedha ya kujikimu.
Lifestyle pale itabadilika, sasa wewe unatoa figo alafu siku ukiumwa kichwa unaenda kununua Panadol za 200 duka la mangi. Panadol zimetengenezwa Vingunguti ambapo ukizipeleka Uingereza au Ujerumani wakizipima unaweza fungwa jela.

Unakunywa dawa ukikojoa unasikia harufu yake, wakati una figo moja we unadhani kuna maisha hapo. Wakati wenye hela wanatumia painkillers za Pfizer au Moderna vidonge vitano laki. Ukitoka hapo unagoogle kuona utaishi miaka mingapi, aaah bongo unahisi kwanini tuna life expectancy ya miaka 66 na Japan wana 85?
 
Wanaua figo hao.....buku 25 yako inakuja kukupa gharama kubwa zaidi za matibabu.....kwakweli kama wenye mamlaka wenyewe wanawalea inabidi tu kujiokoa kivyako
Local bia ambazo zina usalama hapo unakunywa bia kumi na mbili na maji makubwa ya buku.
 
Muombe Mungu akupe afya na siha njema ndugu "Acha" nikupe ushindi ugonjwa ni ugonjwa tu
 
Mnasingizia beer za nje tu ila vijana hawajali afya zao. Watu wanashindia energy drinks, chips, shisha, sigara, soda, hakuna mazoezi, club kila siku, maji chupa moja kwa wk utaacha vp kuumwa figo.
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…