Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

Nauza mashine ya kukamua juice ya miwa..bado mpya bei chee sana nipo bagamoyo 0766127021
 
Mwaka mmoja nishapata mashine 2 crdb....

Nmb sasa hiv awatoi mashine wanafanya mobile wakala unatumia simu nenda tena unapata kwa haraka....

Ukifatilia unapata
Halafu kwenye malipo ya ada na mambo mengine yanayo hitaji kupatiwa risiti, wanafanyaje kupitia huo utaratibu wao mpya?
 
Reactions: Oxx
=Motor Grader 140G
=Vibrating steell roller 18Tones
=Chain Excavator 320DL
=Water bowser Scania 20M³ Volume
=Low loader Scania
=Bull dozer D9

Hizo machine hapo nikipata Set 3 Nakua Millionair Chaap.
Mkuu Kama hutajali nipe connection tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…