kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Asante mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu
Ni biashara ninayoitamani niianze hata Leo ,ni nzuri Sana na yenye faida ila inahitaji ujipange maana maandalizi yake SI haba1. Mashine ya kufanya Plastics Recycling.
2. Full Kit of Pressure Washer with its Accessories.
Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti.
#MaendeleoHayanaChama
Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti.
#MaendeleoHayanaChama
Mwaka mmoja nishapata mashine 2 crdb....M na mwaka amna machine ya CRDB wala NMB
Oh may be alimaanisha dryer au dehydrator kwa ajili ya kupunguza moisture kwenye vyakula na matunda.So, assuming it's not a joke, how do you dry, dry things? 🤔
Nilishawahi kuwa na hili wazo but nilipokuja kufuatilia kuhusu machine aisee ni bei kubwa sanaa iwe full automatic au manual bado bei zipo juu unaweza pita alibaba zipoMashine ya kutengenezea toothpic na zile stick za mishikaki. Mwenye uzoefu tunaomba bei
Bei yake imesimama kweli kweli
Kweli wewe Mr DevilSexy dolls nkipata hii kitu mambo safi
Ni LATHE sio LESS.Machine ya kuchonga vyuma inaitwa less machine
Halafu kwenye malipo ya ada na mambo mengine yanayo hitaji kupatiwa risiti, wanafanyaje kupitia huo utaratibu wao mpya?Mwaka mmoja nishapata mashine 2 crdb....
Nmb sasa hiv awatoi mashine wanafanya mobile wakala unatumia simu nenda tena unapata kwa haraka....
Ukifatilia unapata
Kwa location nilipo siwez kukosa 15,000 kwa sikuNikipata machine ya kutengeneza juice ya miwa tu itanisogeza
hiyo mashine naweza nikaitengeneza mku tena kwa gharam ya chini kiasi na kwa ubora wa hali ya juuHii chuma ndio ipo akilini mwangu. Asante kwa mawasiliano
Piga picha mojawapo ya mashine kama hiyo uliyotengeneza weka na video yake ikionesha jinsi na namna inavyofanya kazihiyo mashine naweza nikaitengeneza mku tena kwa gharam ya chini kiasi na kwa ubora wa hali ya juu
Ni lathe machine mkuuMachine ya kuchonga vyuma inaitwa less machine
SawaNgoja waje mpeane miongozo...
Mkuu Kama hutajali nipe connection tuyajenge=Motor Grader 140G
=Vibrating steell roller 18Tones
=Chain Excavator 320DL
=Water bowser Scania 20M³ Volume
=Low loader Scania
=Bull dozer D9
Hizo machine hapo nikipata Set 3 Nakua Millionair Chaap.